Ibnu Nindi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 400
- 74
hyo siku itakuwa jpili acha uwongo uliotukuka
ebu tuvuten subra tuone
hyo siku itakuwa jpili acha uwongo uliotukuka
Jinsi inavyoonekana mwaka huu HAKUNA ajira ya walimu na hii inatokana na ukata unaoikabili Serikali yetu.
mi nashindwa kuelewa.....hawa watu wasipoajiri walimu kwa huu mwaka wanajitafutia kaburi ktk uchaguzi.....na wao wanalifahamu hili...
halafu ninachoshangaa kwanini serikali hawajatoa tamko lolote kuhusu ajira za walimu kwa mwaka 2015 kama miaka ya nyuma..hata bungeni wabunge hawajazungumzia kabisa swala la ajira kwa walimu nashindwa kuelewa kuna kitu gani hapa...
Ajra watoe tu majina sasa uhakika wa kaz uwepo. Kurpoti ishu nyngne hyo majina kwanza
Ni kweli wakishatoa hata wakisema tulipoti mwezi wa kumi tutasubiria tu
Chuo pia kuna mateso yake ya kulala na madesa. Mtaan napo bila mishe aisee mtu unaomba poo. Hayo majina wayatangaze tu ili mtu ajue km jna lmehusika au vp.Teh teh teh vijana naona mmechakaa yaan life kitaa lmewapiga mbaya lakn mbona mlipokuwa chuo mlikuwa mnapenda mmalze faster kwan mlijua kitaa ni simple eeheeee huk kitaa lazma brain ifanye kaz hv hv tu kitaa utaona ni jehanam ndg walimu
Ajira march moja....
Ndio ukwel jaman