Recent content by bic2kn

  1. B

    JamiiForums Tanzania HALICHACHI vs HALIISHI vs HATUPIMI, njooni tujuzane nani yuko pouwa hapa

    Aitel wako poa sana mkuu japo cba line yao lakn. Kuna kila sababu ya kuitafuta
  2. B

    JamiiForums Tanzania anayetaka chumba cha kupanga, vyumba vipooooo

    Kwa anayetaka chumba cha kupanga au ntumba maeneo ya mombasa, banana, mazzin, magomeni nk ni pm au tuma namba yako.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Dalali wa vyumba.

    Nahitaji chumba kimoja maeneo ya mwananyamala au kinondoni. Wapangaji wasizid wawili mwenye nacho call 0785717499
  4. B

    JamiiForums Tanzania New member

    Nataka mchumba kwa sifa zifuatazo. 1.sura yoyote 2.awe na kazi/biashara 3.mcha Mungu 4.urefu wa wastani 5.cbagui rangi 6.awe mtu wa kanda ya ziwa, kati, pwan. Tanga ctaki, wagogo ctaki Ni pm kama utalendezwa nami.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Nauza phantom 6 ina wiki moja mpaka sasa full vifaa bei 400000 Call 0626658983 Nko dsm
  6. B

    JamiiForums Tanzania Maombi ya polisi

    Nenda makao makuu yake kaulize ndg yangu ndo utalata ukweli zaidi
  7. B

    JamiiForums Tanzania Nataka kuingia kwenye ulingo wa siasa rasmi; Je, nijiunge na CHADEMA na ACT Wazalendo?

    Ushauri gn sasa nenda ccm baba lao achana mambo mengne wewe imekukuza mapaka sasa afu unahangaika kuikimbia kwenda wap
  8. B

    JamiiForums Tanzania Shukurani kwa Mungu wangu wa majeshi

    Uelewa wako kidogo cjui familia yako unawezaje kuiongoza
  9. B

    JamiiForums Tanzania Shukurani kwa Mungu wangu wa majeshi

    Ctoweza kubishana na wewe maana tatzo lako c mchezo
  10. B

    JamiiForums Tanzania Shukurani kwa Mungu wangu wa majeshi

    Nko huru niamtumika BWANA mungu wangu kwa moyo wangu wote sahauri yako wewe ambaye hujachukua hatua
  11. B

    JamiiForums Tanzania Shukurani kwa Mungu wangu wa majeshi

    Wewe una matatzo yako na nilisema hv wapambe wa ibirisi watapingana na ukweli refer ujumbe wangu na wewe......... Nina hofu na iman yako ndgu
  12. B

    JamiiForums Tanzania Shukurani kwa Mungu wangu wa majeshi

    Asante
  13. B

    JamiiForums Tanzania Shukurani kwa Mungu wangu wa majeshi

    Nashukru sana kwa ufafanuzi huo atakuwa kakuelewa mdai aliyepingana na mm.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Shukurani kwa Mungu wangu wa majeshi

    Asante mkuu
Back
Top Bottom