wapendwa ktk bwana napenda kumshukru mwenyezi mungu kwa kunijalia maisha mema,kanipatia watoto wazuri wa kike na wakiume kwa rehema zake mungu cna budi kusema asante BWANA.
Ambacho napenda kuwakumbusha wana jf ni kutenda yatakayo mpendeza mungu,tusimchukize kwa matendo mabaya isijetoke kama sodoma na gomola.
Vijana wa kike na kiume kuwen makin sana na mavazi yetu ya kila cku. Ikunbukwe kuwa kitabu cha kumbukumbu la torati 22 neno linakataza mwanamke kuvaa suruali kwan ni kumchukiza mungu wako vivyo hvyo mwanaume kuvaa nguo za kike ni chukizo machoni pa mungu.
Kwa wale malaika wa shetani watapingana na mm kwa ujumbe huu na ukiona hujaelewa nn nasema basi jitambua kuwa wew ni tatzo.
Aminaaa