Shukurani kwa Mungu wangu wa majeshi

Shukurani kwa Mungu wangu wa majeshi

wapendwa ktk bwana napenda kumshukru mwenyezi mungu kwa kunijalia maisha mema,kanipatia watoto wazuri wa kike na wakiume kwa rehema zake mungu cna budi kusema asante BWANA.

Ambacho napenda kuwakumbusha wana jf ni kutenda yatakayo mpendeza mungu,tusimchukize kwa matendo mabaya isijetoke kama sodoma na gomola.

Vijana wa kike na kiume kuwen makin sana na mavazi yetu ya kila cku. Ikunbukwe kuwa kitabu cha kumbukumbu la torati 22 neno linakataza mwanamke kuvaa suruali kwan ni kumchukiza mungu wako vivyo hvyo mwanaume kuvaa nguo za kike ni chukizo machoni pa mungu.

Kwa wale malaika wa shetani watapingana na mm kwa ujumbe huu na ukiona hujaelewa nn nasema basi jitambua kuwa wew ni tatzo.
Aminaaa
Nionyeshe andika katika biblia linalosema specific nguo za kike ni zipi na za kiume ni zipi, je unajua wakati wa agano la kale nguo zilikuwa ni kanzu tu, hapakuwa na suruali, wala kaputula? hata wakati wa Yesu hapakua na nguo zaidi ya kanzu. Je wajua kuwa kuna suruali maalum kwa wanawake?

andiko linasema hivi 5 “Vazi lolote la mwanamume lisivaliwe na mwanamke, wala mwanamume asivae nguo ya kujitanda ya mwanamke;
Hapa amezungumzia vazi la mwanaume, au nguo za mwanaume, hajaongelea aina ya nguo. kwa mwanamke akinunua nguo yoyote dukani iwe suruali au shati, ni za kwake hizo sio za mwanaume. kwa maana hazijavaliwa na mwanaume bado. lakini akichukua nguo hizo hizo zikishavaliwa na mwanaume, zinazitwa nguo za mwanaume. Katazo hili lilifanywa kwa wana wa Israel zamani zile za agano la kale kwa kusudio maalum. Sizani kuwa katazo hili lina nguvu tena katika ulimwengu huu wa agano jipya.

Mimi ninaamini kila mtu anatakiwa avae mavazi ya kujisitiri, yasio onyesha uchi, hii ni kwa mwanaume na mwanamke.
 
Biblia haijakosea iko sahihi kabisa wanaotafsiri ndio wanakosea kutokana na ufahamu mdogo. Suruali haikuwahi kuwa ni vazi la wanaume huko walikoanza kizivaa ni vazi tu kama ilivyo mavazi mengine ya mwanaume inamashono yake na ya mwanamke ina mashono yake. Kama ilivyo mashono ya kiume inaitwa Kanzu ya kike inaitwa Dela
MAMBO YA WALAWI 6:10

Naye kuhani atavaa nguo yake ya kitani, na SURUALI zake za kitani atazivaa mwilini mwake; naye atayazoa majivu ambayo huo moto umeiteketezea sadaka juu ya madhabahu, kisha atayaweka kando ya madhabahu.

ALIYEKWAMBIA SURUALI HALIJAWAHI KUWA VAZI LA KIUME NI NANI?

BIBLIA HUWA HAIKOSEI
SURUALI HAITAKIWI KWA MWANAMKE NI KOSA KIBIBLIA
 
Leviticus 6:10King James Version (KJV)

10 And the priest shall put on his linen garment, and his linen breeches shall he put upon his flesh, and take up the ashes which the fire hath consumed with the burnt offering on the altar, and he shall put them beside the altar.

Ukisoma hapo unaona Suruali hiyo tafsiri gani unayosoma wewe
 
Nionyeshe andika katika biblia linalosema specific nguo za kike ni zipi na za kiume ni zipi, je unajua wakati wa agano la kale nguo zilikuwa ni kanzu tu, hapakuwa na suruali, wala kaputula? hata wakati wa Yesu hapakua na nguo zaidi ya kanzu. Je wajua kuwa kuna suruali maalum kwa wanawake?

andiko linasema hivi 5 “Vazi lolote la mwanamume lisivaliwe na mwanamke, wala mwanamume asivae nguo ya kujitanda ya mwanamke;
Hapa amezungumzia vazi la mwanaume, au nguo za mwanaume, hajaongelea aina ya nguo. kwa mwanamke akinunua nguo yoyote dukani iwe suruali au shati, ni za kwake hizo sio za mwanaume. kwa maana hazijavaliwa na mwanaume bado. lakini akichukua nguo hizo hizo zikishavaliwa na mwanaume, zinazitwa nguo za mwanaume. Katazo hili lilifanywa kwa wana wa Israel zamani zile za agano la kale kwa kusudio maalum. Sizani kuwa katazo hili lina nguvu tena katika ulimwengu huu wa agano jipya.

Mimi ninaamini kila mtu anatakiwa avae mavazi ya kujisitiri, yasio onyesha uchi, hii ni kwa mwanaume na mwanamke.
Ctoweza kubishana na wewe maana tatzo lako c mchezo
 
Uelewa wako kidogo cjui familia yako unawezaje kuiongoza
 
Leviticus 6:10King James Version (KJV)

10 And the priest shall put on his linen garment, and his linen breeches shall he put upon his flesh, and take up the ashes which the fire hath consumed with the burnt offering on the altar, and he shall put them beside the altar.

Ukisoma hapo unaona Suruali hiyo tafsiri gani unayosoma wewe
Mkuu mbona unapingana na biblia au ww shahidi wa Jehova

KATAA NA HII
DANIEL 3:21
Basi watu hao wakafungwa, hali wamevaa suruali zao, na kanzu zao, na joho zao, na mavazi yao mengine, wakatupwa katikati ya ile tanuru iliyokuwa ikiwaka moto

WALA MSIIFUATISHE NAMNA YA DUNIA HII MWENYE SIKIO NA ASIKIE

UWE NA SIKU NJEMA MKUU[emoji120] [emoji120]
 
Ipo tofauti ndiyo maana ikawa kanzu na gauni. Sema suruali ya kike inaitwaje na kiume inaitwaje. Usije tuambia tu kuna mume wa mwanaume na mume wa mwanamke
Kanzu na gauni havitofautiani unajua hilo ila hii inaitwa Kanzu hii inaitwa Gauni sasa leo mwanamke akivaa kanzu utamuambiaje si gauni?
Hivyo hivyo suruali haikuwahi kuwa ya mwanaume ziko za kike na za kiume pia
 
Sijui leval yako ya elimu lakini kwa elimu ya kawaida tu Ungeelewa kiswahili hakijitoshelezi na kujua lilikotoka neno suruali basi hutapata shida kujua ya kike na ya kiume inaitwaje.
Kuhusu mume wa mwanamke na mwanaume hilo nakuachia wewe maana halikuwepo kwenye mjadala
 
Mkuu mbona unapingana na biblia au ww shahidi wa Jehova

KATAA NA HII
DANIEL 3:21
Basi watu hao wakafungwa, hali wamevaa suruali zao, na kanzu zao, na joho zao, na mavazi yao mengine, wakatupwa katikati ya ile tanuru iliyokuwa ikiwaka moto

WALA MSIIFUATISHE NAMNA YA DUNIA HII MWENYE SIKIO NA ASIKIE

UWE NA SIKU NJEMA MKUU[emoji120] [emoji120]
Kumbe shida iko kwenye tafsri ya biblia unayotumia tu maana ukisoma hapo tena utaona
Daniel 3:21King James Version (KJV)

21 Then these men were bound in their coats, their hosen, and their hats, and their other garments, and were cast into the midst of the burning fiery furnace.
 
Uelewa wako kidogo cjui familia yako unawezaje kuiongoza
Acha matusi pumbavu wewe, weka uelewa wako tuone na wewe familia yako unaweza kuongoza vipi. unapinga bila pointi shenzi wewe. Asubuhi yote hii unaanza kuleta ujinga. kama mtazamo wangu sio sahihi ungenirekebisha tushindane kwa hoja.
 
Ok niambie kwa kingereza basi majina ya suruali ya kike na kiume.mimi najua trouser. Au nifahamishe tofauti ya hijab,kanzu,gauni na uniambie kwanini hayo majina yasitumike kwenye jinsia moja kama ilivyo kwa suruali
Sijui leval yako ya elimu lakini kwa elimu ya kawaida tu Ungeelewa kiswahili hakijitoshelezi na kujua lilikotoka neno suruali basi hutapata shida kujua ya kike na ya kiume inaitwaje.
Kuhusu mume wa mwanamke na mwanaume hilo nakuachia wewe maana halikuwepo kwenye mjadala
 
Ok niambie kwa kingereza basi majina ya suruali ya kike na kiume.mimi najua trouser. Au nifahamishe tofauti ya hijab,kanzu,gauni na uniambie kwanini hayo majina yasitumike kwenye jinsia moja kama ilivyo kwa suruali
Do youre home work ndugu yangu tumia mtandao soma historia ya suruali toka ilipoanza kuvaliwa huko China karne ya 10 bc
 
Kanzu na gauni havitofautiani unajua hilo ila hii inaitwa Kanzu hii inaitwa Gauni sasa leo mwanamke akivaa kanzu utamuambiaje si gauni?
Hivyo hivyo suruali haikuwahi kuwa ya mwanaume ziko za kike na za kiume pia
Kanzu ni kanzu na gauni ni gauni usijitafune tafune kuhalalisha wanawake kuvaa suruali
 
Mtoto mdogo unamueleweshaje tofauti ya kanzu na gauni au tofauti unayoijua wewe ni majina tu
 
Do youre home work ndugu yangu tumia mtandao soma historia ya suruali toka ilipoanza kuvaliwa huko China karne ya 10 bc
Kuumbe" do youre home work" sawa nimeshakuelewa!!
Tumia kiswahili ndiyo unakiweza
 
Back
Top Bottom