Toto la Africa
Member
- Mar 7, 2017
- 14
- 2
Kwa yeyote anaefahamu maombi ya kujiunga na jeshi la polisi yanatoka lini anifahamishe...na utaratibu wake kwa ujumla upoje.....
Sio jibukaka polisi hakuna viwanda
Kwanini??Mnawachukia police kumbe kazi zao mnazimezea mate?
HapanaUpo JKT?
sikuizi lazima upitie jkt kwaio nafasi zikitoka za jkt ombaKwa yeyote anaefahamu maombi ya kujiunga na jeshi la polisi yanatoka lini anifahamishe...na utaratibu wake kwa ujumla upoje.....
Sawasikuizi lazima upitie jkt kwaio nafasi zikitoka za jkt omba
SawaJiunge na JKT maana ajira za Polisi zinaanzia huko.
Hahaha.Mnawachukia police kumbe kazi zao mnazimezea mate?
mjiandae soon everything itakua sawa