Recent content by BIA BORA

  1. BIA BORA

    JamiiForums Tanzania Martin Luther King vs Malcom X, kisa cha Lissu na Mbowe

    Dah Mkuu, uliiiona hii, mwananchi la leo lime "report" story yako ha ha
  2. BIA BORA

    JamiiForums Tanzania Tanzania na China: Kwanini tunajadili mkataba mmoja tu kati ya 17 iliyosainiwa?

    Makaburi yanafukuliwaaaaaaaaaaaaa dah?? Hivi waziri wa mambo ya Nje wakati huo si alikuwa mzee wa KOROSHO
  3. BIA BORA

    JamiiForums Tanzania Ni kwa sababu hii hii shetani alifukuzwa Mbinguni, nayaona ya China na Burundi

    Nani asiyejua kuwa KIONGOZI mkuu wa malaika ni MWENYEZI MUNGU, lakini vitabu vyoote vitakatifu vinaelezea kuwa shatani alipojaribu kumpindua Mungu ili achukue nafasi ya UONGOZI mkuu kwa malaika wenzake alishindwa vibaya katika vita kuu huko mbinguni na tangu sikuhiyo alifukuzwa Mbinguni Leo...
  4. BIA BORA

    JamiiForums Tanzania Waziri Kigwangalla acha unafiki, kama hujui sasa nakujuza

    Kigwangala ni mnafiki na mtafuta sifa rahisirahisi Wakati anang'ang'ania eti kutetea mali za wizara yake pale Njiro Arusha, viwanja ambavyo halmashauri iliviuza kihalali kwa hao anaowataja amefumbia macho kabisa sakata la ZAKIA MEGHJI kuwanyang'anya TTB nyumba hapo Upanga na kumpa mtoto wake wa...
  5. BIA BORA

    JamiiForums Tanzania TTCL fungueni official account JamiiForums

    Wakuu lile shirika letu la simu kwa 100% limeanza kufufuka, wana CEO kijana wa takribani 36 years (hypothesis), naona wamejikita kwenye GSM na juzi wamezindua MOBILE MONEY. Kwakuwa ni shirika la umma kwa 100%, na nimewaona wako active kidogo huko FB. Tuwape ushauri, tuwakosoe na kuwasaidia...
  6. BIA BORA

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Bunge laazimia kuwa RC Dar na DC Arumeru waitwe mbele ya Kamati ya Haki, Kinga na Madaraka

    jiandae kuitwa ukathibitishe
  7. BIA BORA

    JamiiForums Tanzania WITO: Wafanyakazi wa UMMA tuvikatate vyama vya wafanyakazi, vimetutelekeza

    we uko taasisi gani mkuu
  8. BIA BORA

    JamiiForums Tanzania Enough is enough, Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Mashinji anapwaya

    mmegoma kuniunga mkono eeeh
  9. BIA BORA

    JamiiForums Tanzania Enough is enough, Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Mashinji anapwaya

    Naomba kuhamasisha wapenda maendeleo wote wa BAVICHA, BAWACHA, na hata balaza la wazee la CHADEMA kuanzia Jumatatu ijayo tumtoe huyu katibu mkuu aliyefail ndugu Mashinji kwa maandamano makubwa ya kumpinga na kumfungia ofisi. Mimi ntashughulikia vibali vyote vya maandamano. Katibu mkuu gani...
  10. BIA BORA

    JamiiForums Tanzania Sakata la Ukwapuzi wa UDA kufufuliwa?

    Kisena akinyang'anywa UDA natembea uchi dar mpaka moro
  11. BIA BORA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo ya dedication, vidume wa zamani njooni

    mkuu huyu Tully mnaopigiana simu siku iz au ndo yaliishia huko
  12. BIA BORA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo ya dedication, vidume wa zamani njooni

    nimeipenda hii
  13. BIA BORA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo ya dedication, vidume wa zamani njooni

    duh kuna wimbo unaitwa hivi, ni bongo fleva eeh
  14. BIA BORA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo ya dedication, vidume wa zamani njooni

    chief wakati huo ulikua shule gani???
  15. BIA BORA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo ya dedication, vidume wa zamani njooni

    mkuu hizo nyimbo zako uliwadedicate madem au wanaume???
Back
Top Bottom