Ili ujue wewe ndio mweupe kuliko mleta, hebu niambie mmetumiaje huo mwanya wa wanaccm wenyewe kuchoshwa na mambo katika kuijenga chadema?Usishangazwe na huyo kijana kichwani ni mtupu!! Uzuri utawala huu ni kama nyoka naafuta!! Mpaka 2020 nyoka wote watajulikana!!
Wakati mambo yakisonga mbele huku hatari ikiwa kubwa tayari vichwa maji aina ya mleta mada wanatamani kurejea nyuma!!
Wakati hata wanaCCM wamechoshwa na maigizo yao wanaibuka vizabi zabina waliojibanza upinzani kuonesha eti upinzani unalala ilhali CCM imeamka!!
Kinyaa sana!
Mkuu sasa hiyo ndio inasababisha uweke mtu dhaifu?Lazima mkubali majira hubadilika!! Spika angekua sitta pekee leo ingekuaje alipoaga dunia?
Kamanda hilo ni chaguo la mzee. Wewe ni nani kuhoji haya. Unachangia chochote katika chama wewe ?hata senti huchangii. Halafu unahoji. Hahahaha. chama kina wenyewe jiangalie sanaHaiwezekani katibu mkuu wa Chadema kumaliza kari? mwaka mmoja bila kuwa na mkutano wake wa hadhara ambao anaiongoza yeye! Hapana haiwezekani! Haiwezekani katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani kama Chadema kutokushikiliwa katika mahakama yoyote ile nchini kwa madai ya uchochezi mwaka mzima tangu achaguliwe/ apitishwe! Sina maana kwamba aanzishe uchochezi, hapana ila kwa nchi kama Tanzania hii ya Magufuli haiwezekani katibu mkuu wa upinzani kuwa clean for all most one year! No! Big no!
Hivi huyu Dr. Mashinji amewahi kuangalia videos za Slaa kweli? Slaa alipita katikati ya michongoma na alikuwa active kwelikweli! Kule Kagera angekuwa Slaa alishaenda siku nyingiiii na serikali ingekuwa imeshakaa vikao kwa kauli ambazo angekuwa ametoa Slaa!!
No! Mashinji sioni jipya la kisiasa kutoka kwake zaidi ya kuvaa tu suti! We are done! Mashinji gooo..!
Mheshimiwa Mbowe tafadhali na kamati kuu oneni kuwa Mashinji mmembeba kama mzigo na anaua chama! Katibu mkuu asiye kiranja mahiri hatufai Chadema! Mashinji aondoke kweli kweli!!
Mm si mpenzi wa chadema, ila hamna kiti kinakera kama kuona Lema anasota rumande wiki ya pili hii na makamanda wamekaa kimya hamna wakuanzisha sokomoko!hiyo kazi wangempa hata salum tungekuwa mbali
Dah!Dr Mihogo alikuwa wa mwisho kuondoka kama hutaki acha
Kubenea yule hamna kitu! Alivuma kipindi anatumika, lkn sasa hivi pamoj na kupewa kisemeo bunge hana lolote!Nampenda Lema, Tumpe Lissu au Kubebea.
Au Wenje kupunguza maneno.
Mashinji awe strategist wa chama.
Msaliti kijana...leo umeona umuhimu wa Dr. Slaa baada ya kumtukana sana....leo 'katibu mkuu msomi kuliko wote duniani' mmemchoka hata kabla ya mwaka mmoja?Haiwezekani katibu mkuu wa Chadema kumaliza karibu mwaka mmoja bila kuwa na mkutano wake wa hadhara ambao anaiongoza yeye! Hapana haiwezekani! Haiwezekani katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani kama Chadema kutokushikiliwa katika mahakama yoyote ile nchini kwa madai ya uchochezi mwaka mzima tangu achaguliwe/ apitishwe! Sina maana kwamba aanzishe uchochezi, hapana ila kwa nchi kama Tanzania hii ya Magufuli haiwezekani katibu mkuu wa upinzani kuwa clean for all most one year! No! Big no!
Hivi huyu Dr. Mashinji amewahi kuangalia videos za Slaa kweli? Slaa alipita katikati ya michongoma na alikuwa active kwelikweli! Kule Kagera angekuwa Slaa alishaenda siku nyingiiii na serikali ingekuwa imeshakaa vikao kwa kauli ambazo angekuwa ametoa Slaa!!
No! Mashinji sioni jipya la kisiasa kutoka kwake zaidi ya kuvaa tu suti! We are done! Mashinji gooo..!
Mheshimiwa Mbowe tafadhali na kamati kuu oneni kuwa Mashinji mmembeba kama mzigo na anaua chama! Katibu mkuu asiye kiranja mahiri hatufai Chadema! Mashinji aondoke kweli kweli!!
Mimi siyo msaliti bali naangalia na kusema. Siwezi kufumba macho huku nikiona jambo haliko sawa!Msaliti kijana...leo umeona umuhimu wa Dr. Slaa baada ya kumtukana sana....leo 'katibu mkuu msomi kuliko wote duniani' mmemchoka hata kabla ya mwaka mmoja?
Haya,ila gogoro kubwa zaidi ya CUF kuzuka hapo....namwona Tundu akiangia pua.Mimi siyo msaliti bali naangalia na kusema. Siwezi kufumba macho huku nikiona jambo haliko sawa!