Msajili wa makampuni anakusudia kufuta makampuni zaidi ya 5000 yasiyohuisha taarifa zao kwa njia ya mfumo (Brela ORS) ndani ya siku 30 kutoka tarehe ya tangazo.
Kupata orodha ya makampuni yenye kusudio la kufutwa tembele www.brela.go.tz
Kwa yeyote mwenye kupata ugumu wa kuhuisha taarifa za...
eSchool - Huu ni mfumo rahisi sana wa uendeshaji wa shule katika nyanja zote ikiwemo kutoa taarifa za kifedha, matokeo na maendeleo ya wanafunzi kwa wazazi bila kufika shuleni. Kwa maelezo na kupata Demo link Piga simu: 0752091896 au 0712717469
Fanya utafiti kwanza. Si UDSM wala UDOM muhimu ni mwanafunzi una mentality gani. Kuna vilaza wingi tunao mtaani toka UDSM hawajui hata mising ya coding na wamesoma Computer Science
Sent using Jamii Forums mobile app
BUNDI ni aina ya ndege ambaye hula nyama; hufanya mawindo yao wakati wa usiku na kupumzika wakati wa mchana.
Pamekuwepo na imani kwa wengi kwamba bundi anaponekana nyumbani kwa mtu ni lazima kuna mtu atakufa katika nyumba hiyo.
Hivyo imewapelekea watu wengi kuwa na hofu...
Soma hili andiko. *UWEZO WA _BUNDI_ KUTAMBUA KIFO CHA MTU*
BUNDI ni aina ya ndege ambaye hula nyama; hufanya mawindo yao wakati wa usiku na kupumzika wakati wa mchana.
Pamekuwepo na imani kwa wengi kwamba bundi anaponekana nyumbani kwa mtu ni lazima kuna mtu atakufa katika...
Kwenye hizo laptop kuna security chip imewekwa ili kuzuia HDD ya kawaida isisome. Ikitolewa unaweza weka hdd yoyote. Hakuna madhara ktk hilo. Nitafute kwa namba 0752091896 kwa msaada zaidi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.