Naomba tofauti kati Degree hii kwa UDSM na UDOM

Sisi huwa tunaangalia product zinazotolewa sehemu husika

But vyote ni vyuo vizur, Ila mwanafunzi husika ndio point ya kumwangalia usiangalie chuo?

Kuna watu wanaenda Soma IT kwa fasion, mkumbo na kuambiwa na watu kwa kuangalia soko la ajira lakini kiuhalia si kipaji chake na Hana uwezo wa kuhandle IT kichwani pengine husoma kwa kukalili madesa

hawa ndio humaliza wako empty hawajui wafanye nini mtaani na kuanza kulalamikia serikali

Nakushauri kama unataka kujua IT kiundani chuo chochote hapa Tanzania wanatoa introduction na mwanga tu, IT ni Pana Sana wewe mwanafunzi utapenda specialize wapi utachagua.

NB:
IT super set ya computer science

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanaisifu sana UDSM kwamba ni chuo bora wakati ni chuo ambacho kimezalisha graduate wa PhD ambaye hata kuongea kiingereza ni majanga wakati huohuo watu wenye UMBILIKIMO wa mawazo wanakisifia kila kukicha
Wewe tatizo huelewi utofauti wa mtu anayesomea sayansi na anayesomea art, hivi mfano mtu amesomea bachelor ya MATHEMATICS, unategemea aanze kujifunza kiingereza wakati anasomea ku solve mahesabu, acha dharau zako kwanza hata walimu wako pia wamesomea UDSM, kwa hiyo nao unawazarau
 
Habarini.

Naombeni mnipe tofauti ya Degree ya Bsc in COMPUTER SCIENCE inayofundishwa Udsm na Udom
Walimu wa UDOM wote wamesomea UDSM, Walimu wako wote wamesomea UDSM, walimu wa walimu wako wamesomea UDSM, walimu wa wazazi wako nao wamesomea UDSM, viongozi wote wa serikali wamesomea UDSM, UDSM huwezi kuilinganisha na UDOM, UDSM inajulikana dunia nzima
 
Fanya utafiti kwanza. Si UDSM wala UDOM muhimu ni mwanafunzi una mentality gani. Kuna vilaza wingi tunao mtaani toka UDSM hawajui hata mising ya coding na wamesoma Computer Science

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo dogo, hivi kati ya UDOM NA UDSM ni chuo gani kinachukua vipanga form six? Yaani mtu apate div one kali alafu aende UDOM? Labda achaguliwe bahati mbaya
 
Acha uongo dogo, hivi kati ya UDOM NA UDSM ni chuo gani kinachukua vipanga form six, ?? Yaani mtu apate div one kali alafu aende UDOM ?? Labda achaguliwe bahati mbaya
Eti vipanga!

Bado sana ninyi watanzania kwenye maswala ya elimu!

Vyuo vyote Tanzania vinalingana ubora wala havina tofauti yoyote isipokuwa majengo tu!

Walimu ni wale wale, wanafunzi ni wale wale na mitaala ni ile ile!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom