Msaada tutani juu ya upatikanaji wa HDD (internal hard disk)

mkuu nimeangalia tena picha yako juu mbona kama hauna ile bracket ya kuhold hio HDD? ukiieka haiwi loose?

Inakua loose eeh, ila naishikilia na gundi ili nione kama inasoma kwanza then ndio niweke kwenye bracket ya kuhold HDD
 
mkuu jaribu HDD nyengine kama utapata kama still inazingua itabidi ujaribu alternative nyengine kama
-update bios kuna watu naona online imewasaidia
-jaribu kubadili hio connector ya sata kwa kueka waya mwengine
 
mafundi wetu hawa wasije wakaniumiza asee
 
hahusiki fundi hapo, hizo bios update mwenyewe utazikuta site ya dell kwenye support page ya laptop yako. na waya na HDD za kutestia tumia maduka makubwa ya vifaa vya computer, nenda kama mteja
 
Waya unaounganisha HDD na pc kumbe unachomoka kama unavochomoka kwenye HDD?
 
Kwenye hizo laptop kuna security chip imewekwa ili kuzuia HDD ya kawaida isisome. Ikitolewa unaweza weka hdd yoyote. Hakuna madhara ktk hilo. Nitafute kwa namba 0752091896 kwa msaada zaidi
 
Back
Top Bottom