Recent content by beware

  1. B

    naweza kuretrieve removed file kwenye flash?

    asante ila plse me sio mjuvi sana naomba uniambe usb show nadownload from net?
  2. B

    naweza kuretrieve removed file kwenye flash?

    wapendwa naombeni msaada,nimescan flash ikaniambia 16files zina virus nikabonyeza remove unheal infection,kumbe jamani nimefuta files zangu na research ilikuwemo nimedata naomba msaada kama naweza kuzipata.zilikuwa kwenye flash
  3. B

    Maujanja ya Mirosoft haya hapa. No2.

    ubarikiwe nimeapply maujanja no 1 on how to make computer buust quickly imekubali mpendwa tunashukuru kwa kutokuwa mchoyo
  4. B

    Naelekea India nitawajuza hali ya Mwakyembe bila unafiki!

    safari njema uniletee tambuu mpenzi halafu nimekumiss sana
  5. B

    Bora niwe mpweke

    da kumbe mtu ukifikiri ni we mwenyewe umekumbwa kumbe wapo wengi.ila nimegundua ukiwa mwaminifu ni nadra sana kupata mwaminifu mwenzako labda Mungu ukupendelee pole mwaya ungekuwa cheater najua usingeumia hivyo ndo dunia yetu
  6. B

    Mke wangu habebeki...

    kama kiatu ni dollar 1000 sio kwao kwa sababu mume wake amesema ndo anayomtumia kwa hiyo unataka kusema ye amenunua kiatu tubila kufanya mengineyo?thread ya mtoa mada sio wa class hiyo na majibu yangu yalimlenga yeye hayakukulenga wewe na matajiri wengine wenye kununua kiau cha milioni na laki sita
  7. B

    Lady Jay Dee, mwanadada komandoo alazwa Paris Ufaransa

    du kumbe ndo mana kuna watu hataki tena kuingia kwenye forum.baadhi ya watz tuna wivu na roho mbaya tena hazifichiki soma jicho 3 na mwita God forbid hujafa hujaumbika bandugu zangu
  8. B

    je mahakama ni ya wahaya?

    mimi sijafikiri kikabila nimeangalia fact kama wengine wanavyoangalia TRA kikabili uhuru wa maoni
  9. B

    Likizo ya uzazi inafuta likizo ya kawaida ya mwaka?

    unaamua mwenyewe uchukue lini kabla au baada ni chaguo lako ilimradi tu isihesabiwe kwenye likizo ya uzazi
  10. B

    Wivu!!!!

    kama we eiyer huwa nakuonea wivu kweli kabla hata sijajiunga natamani nikuite baba wa watoto wangu hahaha sababu huwa unaandika sense
  11. B

    wanawake chakaramo wanaolewa zaidi kuliko wanaojiheshimu

    you musst always be yourself ukitaka kujibadili utajikuta unaangamia manake utafanya usiyojua ukifikiri uko kwenye track kumbe ndo unapotea tme will tell mumy just relax.
  12. B

    Mke wangu habebeki...

    mmmmh hi thread ina uwalikini hivi kwa maisha yetu bongo milioni moja unafanyia nini hata kama foleni ya dar?Tufanye count down ndogo,petrol 300,000 sokoni 120,000 housemaid 100,000,miscelleneous 200,000 laki nane roughly sasa huyo milioni 2 tena ana mshahara?either anajenga kwao au ana mwanaume...
  13. B

    Nataka haraka.

    nina 53 nipm fasta mpenzi
  14. B

    Mwanza hali si shwari, risasi za moto na mabom ya machozi yapigwa

    kesi haijaanza kusikilizwa jamani wamesomewa tu maelezo ya awali tarehe 24 ndo itaanza kusikilizwa kilichochomwa ni maandishi ya kiarabu kwa wanaojua yanaitwa kombe
  15. B

    Makosa saba wafanyayo wasichana ambayo huwafanya wachelewe kuolewa !!!!

    Da hiyo ya mwisho umenigusa kabisaaa meku
Back
Top Bottom