je mahakama ni ya wahaya?

beware

Member
Oct 15, 2011
29
2
nimekuwa nikisoma mara nyingi sana kwamba ofisi kama TRA wamejazana wachaga,TBC wanyakyusa etc.sasa nawauliza wandugu mnajua sehemu kubwa ya judiciary imeshikwa na wahaya?Robo tatu ya maicharge wa wilaya ni wahaya wengine hata hajakaa kazini miaka mitatu wanapewa vyeo tena vikubwa,nawakilisha
 
Kuna ka ukweli labda wanapenda kusomea sheria kama wachaga wanavyopenda kusomea finance
 
nimekuwa nikisoma mara nyingi sana kwamba ofisi kama TRA wamejazana wachaga,TBC wanyakyusa etc.sasa nawauliza wandugu mnajua sehemu kubwa ya judiciary imeshikwa na wahaya?
Robo tatu ya maicharge wa wilaya ni wahaya wengine hata hajakaa kazini miaka mitatu wanapewa vyeo tena vikubwa,nawakilisha
Basi tafuta Wazaramo wenzako ama Wakwere wakawe maIncharge wa Idara hiyo hapa Tanzania.
Kufikiri kikabila, ni ishara ya upunguani.
 
mimi sijafikiri kikabila nimeangalia fact kama wengine wanavyoangalia TRA kikabili uhuru wa maoni
 
nimekuwa nikisoma mara nyingi sana kwamba ofisi kama TRA wamejazana wachaga,TBC wanyakyusa etc.sasa nawauliza wandugu mnajua sehemu kubwa ya judiciary imeshikwa na wahaya?Robo tatu ya maicharge wa wilaya ni wahaya wengine hata hajakaa kazini miaka mitatu wanapewa vyeo tena vikubwa,nawakilisha
Kuna wakati Arusha Hakimu mkuu alikuwa Mhaya na mwendesha mashitaka alikuwa mhaya na wote walisoma darasa moja sekondari na chuo kikuu ,ikawa taabu hapo Arusha watu wakalalamika mwishowe wakatenganisha ,hakimu akaja kuwa afisa mkubwa kwenye mahakama ,hata huko nasikia akaanza kujiwekea kamtandao ka watu kutoka mkoani mwake,hii ndio bongo kila mtu na kamhogo kake
 
...kwenye hiyo field jamaa wametulia na wanaipenda na hawasiti kuapply inapotokea nafasi: ila sahamini kama 'beware' amefanya utafiti wa kutosha juu ya hilo.
 
@ beware remember '' No reserch no right to speak'' kama umefanya utafiti ukayaona haya basi kesho utaanza kufuatilia hata dini!!
 
@ beware remember '' No reserch no right to speak'' kama umefanya utafiti ukayaona haya basi kesho utaanza kufuatilia hata dini!!

kweli kabisa wahaya noma kwa sheria na hasa ktk idara ya mahakama. Hata uku Kondoa Incharge ni mhaya anahitwa Kato.
 
nimekuwa nikisoma mara nyingi sana kwamba ofisi kama TRA wamejazana wachaga,TBC wanyakyusa etc.sasa nawauliza wandugu mnajua sehemu kubwa ya judiciary imeshikwa na wahaya?Robo tatu ya maicharge wa wilaya ni wahaya wengine hata hajakaa kazini miaka mitatu wanapewa vyeo tena vikubwa,nawakilisha

Ndugu;
Kwanza kabisa maoni yako hayataheshimiwa sana kwasababu hauko objective! Unaposhusha tuhuma nzito kama hizo ni lazima uwe na ushahidi kwa marefu na mapana yake, kwa mfano, ufafanue kwamba wale km ulivyosema mwenyewe ma-in-charge wanavyo vigezo kupewa hizo nafasi? pia fafanua kama kuna sheria au kanuni, mwongozo unaoainisha kipindi ambacho mtu anatakiwa awe amekaa kazini ktk sehemu husika ili aweze kupata nafasi ya kupanda cheo, je ni juhudi zake au kukaa kwake mahala hapo, ama sivyo hatutakaa tu pate watendaji wazuri tukifuata seniority kwa sababu vijana wengi wanao uwezo makini kiutendaji kuliko hao unaowapenda wewe ati wazoefu {Remember, if an experience of 10 years is dwelled under one skill it is almost a one year experience!} kISHA KUSEMA HAYO , ndugu unaweza kujifikiria vizuri na may be consider withdrawing your junk information.
 
Back
Top Bottom