Hata mimi nashangaa,wanawake wa Kitanzania sijui wakoje.Ukiwapenda watakuzungusha kama hawataki wakati wanataka,ukiwashit utakuta wanapiga vijembe.
Wakati wanawake wa Kizungu,wako straight,kama wanakutaka hawazingui wanakuambia moja kwa moja.Kama hawajaelewa,pia wanakuambia NO,tena BIG NO.