Suzuki Carry inauzwa

Malingumu

JF-Expert Member
Apr 5, 2012
616
429
Suzuki Carry iko sokoni
iko kwenye hali nzuri
Haina tatizo lolote
ipo Dar es salaam
Bei : 5 Mil
Contact : 0714772030

NB: Haina muda mrefu tangu inunuliwe..
 

Attachments

  • IMG-20151221-WA0027.jpg
    IMG-20151221-WA0027.jpg
    129.2 KB · Views: 438
  • IMG-20151221-WA0028.jpg
    IMG-20151221-WA0028.jpg
    131.8 KB · Views: 354
Muda mrefu ni dak ngapi ,saa ngapi,siku ngapi?,mwiki,miezi,miaka mingapi?tueleza tujue siyo maneno maneno tu.
 
Suzuki Carry iko sokoni
iko kwenye hali nzuri
Haina tatizo lolote
ipo Dar es salaam
Bei : 5 Mil
Contact : 0714772030

NB: Haina muda mrefu tangu inunuliwe..

Mkuu uwe muwazi,muda mrefu tangu itengenezwe au inunuliwe?
Ina matatizo gani yanayokulazimisha kuiuza?
 
Mkuu uwe muwazi,muda mrefu tangu itengenezwe au inunuliwe?
Ina matatizo gani yanayokulazimisha kuiuza?

Matatizo yake inaonekana hata akiiosha haitakati licha ya kwamba ipo Mjini tena kwenye jiji.

Kwa ufupi gari yoyote inahitaji matunzo,ukiwa mtunzaji basi utauza kwa bei nzuri ila ukiwa killer basi jua imekula kwako.
Kuna mtaalam wa kukuza picha humu atakuja kuikuza,inaonekana mbele imekula mzinga then ikanyooshwa ikagoma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom