The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,196
- 3,316
kwa ushauri zaidi aende kwa yule jamaa mwenye mvi nyingi sana ambae wafwasi wake wanazungusha sana mikono nakumbuka ni kama yeye alikua haishi kuitaja wizara hii sizani kama atatoka patupu
Utakufa na umasikini wako wa fikra.
Ahakikishe hakuna muislam kufika form one wote waishie darasa la saba tu, wafanyakazi wa kiislam awapige chini wote waliokuwa wizara ya elimu, akiyafanya hayo ndani ya miaka miwili tu anakuwa mwenye heri! Najua hawezi kushindwa kama aliweza kufanya alichokifanya alivyokuwa katibu mkuu
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr JPM jana alikamilisha uteuzi wa baraza la mawaziri kwa zile nafasi alizokuwa ameweka kiporo.
Katika uteuzi huo amemteua Dr Joyce Ndalichako kuwa mbunge na hatimaye waziri wa elimu,sayansi,teknolojia na ufundi. Hongera Dr Ndalichako.
Ikumbukwe kuwa wizara hii ya elimu ina changamoto nyingi sana hali inayosababisha wadau wa elimu kupiga sana kelele juu ya hatima ya elimu ya watoto wetu kitaifa na kimataifa.
Hivyo basi,ninaomba tutumie fursa hii kumshauri waziri mwenye dhamana mambo ya msingi ambayo tunadhani akiyasimamia kikamilifu na kwa uadilifu mkubwa atainusuru elimu yetu ambayo kwa hakika ipo rehani. Mimi naanza kwa hili:
l) Ninamuomba waziri aboreshe mazingira ya kazi kwa walimu kwa kuwapatia makazi bora ya kuishi tofauti ilivyo hivi sasa.
ll) Pia masilahi kwa walimu iboreshwe ili waweze kufanya kazi zao kwa moyo na uadilifu mkubwa.
lll) waziri aipitie upya mitaala yetu ya elimu ili iweze kufanyiwa marekebisho kulingana na mahitaji ya elimu yetu kwa sasa.
ENDELEA...
Nimajungu na wivu wenu ti
Utakufa na umasikini wako wa fikra.
Apuuzie wote wanaoaka kukifuta kiingereza kama lugha ya kufundishia!
Walimu wa shule za msingi waendelee kupata kozi za kiingereza na hisabati kwenye 'CLUSTERS' zao, maana tunajua haya masomo walimu wengi wanachapia!
REPEAT AGAIN: BORESHA KIINGEREZA NA HISABATI SHULE ZA MSINGI!
Pointi yako namba 6 ina ukweli kabisa. Ni jambo la kusikitisha kuona maofisa wa elimu katika ofisi ya elimu wilaya,wakaguzi na waratibu elimu kata wengi wao wana vyeti (certificates) tu wakati kuna walimu wengi wenye Shahada wapo madarasani. Mathalani katika halmashauri ya wilaya ya Masasi waratibu elimu kata karibu wote wana astashahada (cheti) na wachache wana stashahada wakati waraka wa elimu unataka waratibu elimu kata wawe na Shahada na walimu wakuu wawe na stashahada. Katika hili wanaokwamisha utekelezaji wa waraka huo ni waajiri na wakuu wa idara kwani hawataki kutekeleza kwa makusudi au kwa kuogopa kuwaondoa wale wasiokuwa na sifa na kuwaweka wenye sifa. Hili ni jipu linahitaji mtumbuaji kwani limewashinda wenye mamlaka.ukweli elimu yetu inahitajii, kuwa reformed upya siasa imeharibu kabisa mfumo wa waalimu,
1. uboreshaji wa mitaala
2.vifaa vya kijifunzua na kufundishia.
3. kurudisha heshima kwa waali, kwa kuboresha maslai yao, na kuwalipa madeni yoote.
3. nyumbaa na madarasa ya waalimu.
4 kupeleka huduma zote za kijamii vijijini.
5.kufuta waraka kandamizi kwa waalimu.
6. matumizi mabaya ya raslimali watu, mwl ana digree anafundusha darasa la pili wakati afisa elimu, mkaguzi, mratibu elimu kata, mwl. mkuu anasartificate au diploma,inawapa wakati mgumu hata viongozikuwasimamia hawa nayite haya nikwaajili ya undugu na ujamaa,
Ahakikishe hakuna muislam kufika form one wote waishie darasa la saba tu, wafanyakazi wa kiislam awapige chini wote waliokuwa wizara ya elimu, akiyafanya hayo ndani ya miaka miwili tu anakuwa mwenye heri! Najua hawezi kushindwa kama aliweza kufanya alichokifanya alivyokuwa katibu mkuu
Ahakikishe hakuna muislam kufika form one wote waishie darasa la saba tu, wafanyakazi wa kiislam awapige chini wote waliokuwa wizara ya elimu, akiyafanya hayo ndani ya miaka miwili tu anakuwa mwenye heri! Najua hawezi kushindwa kama aliweza kufanya alichokifanya alivyokuwa katibu mkuu
Na wale wa ile dini iliyosababisha uondolewe madarakani felisha mara tatu ya ulivyo wafelisha kipindi kile.