Nimepanga nyumba moja hapa Magomeni, vyumba karibu vyote ni mashoga, wazungu hawakauki hapa kuja kupiga miti tunakoelekea ni kubaya sana kama nchi mimi huwa naona mtu ambaye ni shoga hana mchango wowote katika taifa😔
Sio guarantee utapata kila siku ila nimewahi fanya iyo kazi miezi miwili hivi nasubiri kwenda internship nilikua napiga za za makumbusho/nyuki hela ipo nilitamani hadi internship niiskip kwa mwaka huo sikumbuki kama kuna siku nililala na pungufu ya 20k tshs ila ndio hivyo jiji letu hili pia...
Naelewa si rahisi ndio maana nikayaita maamuzi magumu, ntaenda hatua kwa hatua ila kitu cha kuajiliwa maisha yangu yote itakuwa failure maishani mwangu serious
Sema kweli hiki kitu hata me kinaniwazisha sana, kwa mshahara wangu huu hata nikisema nijibane siwezi pata nauli ya kwenda Dubai na kula maisha kwa wiki. Wakati nina wana kibao walioko kwenye business zao mjini sehemu kama Dubai na China wanaingia karibu kila mwezi . Kuna siku nitafanya maamuzi...
Hata Google, facebook, Dell, na Oracle ni mali za wayahudi wale majamaa huwezi walelewa ila wana akili kichizi ndio maana mmarekani hataki kuwaachia kirahisi ndio maana hadi sasa yupo nao kwenye shida na raha!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.