Recent content by benzoo

  1. B

    JamiiForums Tanzania Inasemekana Zimamoto wametoa tena majina ya nyongeza?

    naomba majina ya B
  2. B

    JamiiForums Tanzania Inasemekana Zimamoto wametoa tena majina ya nyongeza?

    nisaidie majina ya herufi B
  3. B

    JamiiForums Tanzania amani ya kweli haipatikani kwa ncha ya upanga

    Habari members! Leo nimejitokeza humu jamvin japo nami nipate kunena.ni mengi nayasikia,mengine nayasoma humu jamvini na kila m1 ana mtazamo wake kuhusu amani ya nchi yetu.kiukwel 2mefika mbali watanzania,leo hii 2natekana wenyw,2natesesana nusura ya kuuana,2napigana na kuuana kisa siasa na...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Jopo la Maaskofu lakutana Mbagala, latoa tamko zito

    akupigae shavu la kushoto mgeuzie na la kulia..........aman haipatkan kwa visasi na roho iliyojaaa chuki.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania Daima yasikitisha!!!

    kila mtu ni binadamu kwa ubinadamu wake,hayo ni majibu ya mhariri uliyeongea naye nazan si gazeti lenyew....
  6. B

    JamiiForums Tanzania Hawa ni 'wapopo' don't get tempted!

    Wajinga ndo waliwao...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya kamati ya utendaji ya CUF - Taifa (kikao kimemalizika leo Zanzibar)

    Ya kaisari aachiwe kaisari...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la Katiba latangaza Maandamano ya amani nchi nzima

    Punda haendi sharti kwa mjeledi...pa1 2nawez
  9. B

    JamiiForums Tanzania Jamani Pandeni Dala dala...kuna raha yake

    kwan kutumia net kunagharim sh ngp ambayo ingewez kukukomboa kimaisha?
  10. B

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Hello JF members!hopn tht u r vry well, sory ndg i need some1 anisaidie vigezo vya kujoin jwtz
  11. B

    JamiiForums Tanzania Dk. Slaa aichafua CCM; Kuwaponza vigogo

  12. B

    JamiiForums Tanzania JWTZ na taarifa ya Mabomu Gongo la Mboto

    Mengi yatasemwa lakini mwisho wa yote watanzania 2mkimbilie Mungu kwn ye ndo suluhisho la matatz yote yanayo2kabil
  13. B

    JamiiForums Tanzania Chikawe awakemea Mwakyembe na Sitta: Waache kuzungumzia DOWANS

    mi nadhan wapo sawa cz hwz kuta2a matatz ukiwa mbal nayo "fimbo ya mbali haiui nyoka",acha waendelee kubaki na positions zao hk wakiendelea kupamban na ufisad wa ndg zao kwa ukarb zyd "juen kweli,nayo kwel itawaweka huru"
  14. B

    JamiiForums Tanzania Chadema yaijaribu serikali.

    mtindio wa ubongo unakusumbua,ngoja 2015 ifike uone kama haujafa kwa presha
Back
Top Bottom