Jamani Pandeni Dala dala...kuna raha yake

Rejao

JF-Expert Member
May 4, 2010
9,220
4,056
Jana mida ya jioni nilipanda dala dala kutoka maeneo ya Mwenge nikielekea Mbagala. Kama tunavyojua, kuna umbali mrefu kati ya maeneo haya!
Nimezoea kuona Shutuma nyingi sana dhidi ya serikali hapa jamvini lakini hizi zilikuwa kiboko!
Hapa jamvini watu tumekuwa tukiilaumu serikali na maisha magumu kwa mtanzania lakini kwa niliyoyaona jana nimegundua kuwa watu wengi hapa tuna fake! Haturepresent true picture ya hali halisi! Mtu utasemaje una maisha magumu wakati una uwezo wa kutumia Internet kukoment hapa JF 24/7?
Kwenye dala dala walikuwa real, na walichoongea kilikuwa na mguso wa aina yake!
Nawashauri pandeni dala dala mkitaka kujua mengi! Ilinigarimu tu 500 kutoka Mwenge mpaka Mbagala
 
Jana mida ya jioni nilipanda dala dala kutoka maeneo ya Mwenge nikielekea Mbagala. Kama tunavyojua, kuna umbali mrefu kati ya maeneo haya!
Nimezoea kuona Shutuma nyingi sana dhidi ya serikali hapa jamvini lakini hizi zilikuwa kiboko!
Hapa jamvini watu tumekuwa tukiilaumu serikali na maisha magumu kwa mtanzania lakini kwa niliyoyaona jana nimegundua kuwa watu wengi hapa tuna fake! Haturepresent true picture ya hali halisi! Mtu utasemaje una maisha magumu wakati una uwezo wa kutumia Internet kukoment hapa JF 24/7?
walikuwa real, na walichoongea kilikuwa na mguso wa aina yake!Kwenye dala dala
Nawashauri pandeni dala dala mkitaka kujua mengi! Ilinigarimu tu 500 kutoka Mwenge mpaka Mbagala
Bado hujaweka point muhimu sana kwenye hii thread yako!
Ulisikia maongezi gani kwenye daladala?
Lakini pia kuwashauri watu wapande daladala ni maajabu kwangu, maana ndiyo usafiri wa kila siku wa 70% ya wanaJF hapa!
Sijakuelewa!
 
Na leo Naelekea kituoni kupanda,kwa mara ya mwisho kupanda DALADALA NI jana SAA 1:30 JION IF NOT USIKU
 
UN wamesha declare internet kuwa haki ya kila mtu ..... afterall nowadays a bundle of internet 400MB is TZS 2500 per month, and if you use jf and other mail services it can last for three weeks

haina maana mtu anayetumia internet maisha ni mazuri kwake
 
Bado hujaweka point muhimu sana kwenye hii thread yako!Ulisikia maongezi gani kwenye daladala?Lakini pia kuwashauri watu wapande daladala ni maajabu kwangu, maana ndiyo usafiri wa kila siku wa 70% ya wanaJF hapa!Sijakuelewa!
Kulikuwa na mada nyingi, kutokana na foleni zetu za jijini, nyingi za kisiasa na kiuchumi
 
UN wamesha declare internet kuwa haki ya kila mtu ..... afterall nowadays a bundle of internet 400MB is TZS 2500 per month, and if you use jf and other mail services it can last for three weekshaina maana mtu anayetumia internet maisha ni mazuri kwake
Ni wananchi wangapi wenye uwezo wa kununua computer? Ni wangapi wenye uelewa wa matumizi ya internet?
 
Ni ipi inatisha kati ya hizi?
Ama kweli Nyani haoni mgongowe!

avatar7660_7.gif
avatar23356_4.gif
 
Ni wananchi wangapi wenye uwezo wa kununua computer? Ni wangapi wenye uelewa wa matumizi ya internet?

Mkuu ... mbona kama unakremu .... internet inapatikana kwenye simu za viganjani na hata siyo lazima umiliki pc ndiyo unaweza access internet... waweza kwenda cafe na kupata huduma hii unapoihitaji kama vile unavyokwenda hospitali au polisi pale unapoumwa au unapofanyiwa uhalifu ..... sasa hivi hata matokeo ya mitihani hutolewa kwa internet .... siyo lazima kila mwananchi awe na internet access .... kama ilivyo siyo kila mwananchi ana bomba la maji .... wengine huenda kuchota maji kwa jirani na kwenye madimbwi na mito
 
Natumia simu kwa muda woote naokua kwenye INTANET.........
Mkuu ... mbona kama unakremu .... internet inapatikana kwenye simu za viganjani na hata siyo lazima umiliki pc ndiyo unaweza access internet... waweza kwenda cafe na kupata huduma hii unapoihitaji kama vile unavyokwenda hospitali au polisi pale unapoumwa au unapofanyiwa uhalifu ..... sasa hivi hata matokeo ya mitihani hutolewa kwa internet .... siyo lazima kila mwananchi awe na internet access .... kama ilivyo siyo kila mwananchi ana bomba la maji .... wengine huenda kuchota maji kwa jirani na kwenye madimbwi na mito
 
Ngoja niwahi kituoni ila huu mtindo wa wakaka kutubarashia mhhh
Hahaha... Kumbe huwa mnafeel? Kuna baadhi ya wadada huwa wanapenda, unashangaa mdada anakuja kusimama na kukupa mgongo nyuma yako kabisa! Sasa hapo unategemea nin?
 
Hahaha... Kumbe huwa mnafeel? Kuna baadhi ya wadada huwa wanapenda, unashangaa mdada anakuja kusimama na kukupa mgongo nyuma yako kabisa! Sasa hapo unategemea nin?

Sa tufanyeje jamani na ki hiace kimejazaa na sie twataka wahi home lol:tonguez:
 
Sasa wewe Rejao unaweka post na hauleti je ulisikia nini ituambie tufatilie ushauri wako hujanigusa bado na hii hoja yako.
 
Sasa umepiga kimini na nguo nyepesi uku kichupi chaonekana kwa mbali lazima wakubaashie.
Jamani apa nilipo nareply kwa kutumia simu sasa iyo gharama unaoiongelea inatoka wapi.
Alafu kama kweli ulipanda daladala lazima ungeweka wazi mlichokuwa mnadiscuss ila mkuu nona umesikia kwa watu tuu.
Siku panda kivukoni kwenda gongo la mboto aka goms uone comments za watz
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom