Jopo la Maaskofu lakutana Mbagala, latoa tamko zito

2-wakorintho 13:11-14

Kwa sasa, ndugu, kwaherini! Muwe na ukamilifu, shikeni mashauri yangu, muwe na nia moja; kaeni kwa amani. Naye Mungu wa mapendo na amani atakuwa pamoja nanyi.Salimianeni kwa ishara ya upendo.

Neema ya Bwana Yesu Kristo na upendo wa Mungu na umoja wa Roho Mtakatifu, viwe nanyi nyote.
 
wafia kristo tupo watoe tamko tu...


Fuateni biblia inavyosema " An eye for an eye..." basi, ama sivyo hawa washenzi kila siku watachoma makanisa!! Watafanya hivyo kwasababu DHAIFU anawaendekeza!! Si mmemsikia Ponda alivyosema kuwa ikifika IJUMAA watamfuata wafuasi wake kumtoa mahabusu!! He has dared the establishment and let us wait and see how they are going to react to Ponda's challenge!!
 
Tunawatakia kila la kheri na matamko yao ila wafahamu hii nchi ni ya Waislamu na Wakristo. Busara na hekima itumike na sio vitisho na mikwala. Kwani vijana wa kiislamu na waislamu wengi wamewachoka sio siri. Ni vema wakatafakari vizuri kitu wanachokizungumza isije kuishia tukashindwa kuishi kwa amani nchini mwetu hali ni mbaya.
Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.
 
Kama kawaida nchi ya matamko tu, mpaka sasa yamefika 100. Hivi likiwa kali itasaidia nini?

Mi nadhani huo muda wanaoutumia kutoa matamko wangekuwa wanawafundisha wafuasi wao kuheshimu imani za watu vinginevyo yatakuwa ni matamko kwa kwenda mbele
 
mmmmm....... matukio yamegongana sana report ya kifo cha mwangosi,M4c,stivin ulimboka,uamsho zanzibar,kuchoma makanisa etc What is behind all these?any way ntarud
 
Wawafundishe nini wasichojua wakristo?neno limewaweka huru kweli kweli? tatizo upande wa pili yani genge la wezi wa vyombo vya muziki nk hawana mafundisho ya imani yao nilimsikiliza vizuri shehe wa mkoa wa dar alisema kiimani yao hairuhusiwi yale ni mambo ya kitoto yangeamriwa ki ngazi ya familia kuliko maamuzi ya kwenda kuchoma nyumba za ibada wakiamini ndo kumpigania mungu,uliona wapi Mungu anapiganiwa na wanadamu huu ni ujinga kabisa watu wazima badala ya wafanya kazi kujenga uchumi wanavuruga amani,we angalia kwenye picha watu wanaofanya vurugu inaonyesha ni watu waliopoteza matumaishi ya kuishi wamepigwa na ugumu wa maisha so akitokea mtu akawambia sababu ya nyie kuwa na hiyo hali ni mfumo kristo mi naona hao ndo wafundishwe dini yao namna ya kuwa na upendo uvumilivu ktk hali ngumu .....
 
Nashauri wawasamehe tu, mali zote zinatoka kwa Bwana. Wataanza tena na Mungu atawabariki tena.
 
Wakristu siku zote si watoa hukumu kwani hawashughuliki na mwili ambao utabaki duniani ila wanashughulika na roho ambayo itapata hukumu siku ya kiama

kisasi sio chetu bali ni cha mungu, kazi yetu wakristo ni kuwasamehe.
Hata yesu baada ya mateso makali pale msalabani, mwishowe kabla ya kukata roho alisema, "baba uwasemehe kwa maana hawajui walitendalo".

Yes hukumu na msamaha ni kwa bwana mungu wetu, naomba wakristo wote wanaomuamini mungu ktk roho na kweli msiyachukulie mambo haya kimwili vita vyetu ni vya kiroho si vya damu na nyama bali ni juu ya falme na mamlaka ktk ulimwengu wa roho wakuu wa giza na pepo wabaya ktk ulimwengu wa roho naomba tuombe amani kwaajili ya nchi tuombe hizo roho za vurugu za kidini zishindwe kwani zimeanzia ktk ulimwengu wa roho then ndio vimekuja ktk ulimwengu wa mwili, tumepewa mamlaka sisi ni wafalme na makuhani haijalishi kiongozi wa dini gani anatawala tuombe tu! HAINA HAJA YA MATAMKO YATAKAYOZIDISHA HASIRA.
 
Soma 1Samweli 17:47 ujue msimamo wa mkristo wa kweli


Zaburi 4:4-11

Luka 10:19

1timotheo 5:11-20

mathayo 22:44


Kubwa zaidi ya Yote: Malaki 10:10 " Je sisi sote hatuna Baba mmoja ? Mungu aliyetuumba sie mmoja?
Basi , mbona kila mmoja wetu anamtenda Ndugu yake mambo ya hiana tukilinajisi agano la Baba zetu??
 
maaskof hawawezi kuhamasisha vurugu hilo wakristo tunalijua. sasa wa kristo kazi kwenu 2015 kuchanganua maana mmewaweka hawa madalakani mmeona madhara yake.
 
Muslims are not happy in Gaza.
They're not happy in Egypt or Libya or Morocco.
They're not happy in Iran.
They're not happy in Iraq or Yemen or Afghanistan.
They're not happy in Pakistan.
And they're not happy in Syria or Lebanon.

So, where are they happy?

They're happy in Australia.
They're happy in Canada.
They're happy in England, France and Italy.
They're happy in Germany. They're happy in Sweden, the USA and Norway.
They're happy in Holland and Denmark.

Basically, they're happy in every country that is not Muslim and unhappy in every country that is.

And who do they blame?
Not Islam. Not their leadership. Not themselves.

They blame the countries they are happy in.
And then they want to change those countries to be like the country they came from where they were unhappy.
 
Back
Top Bottom