Habari members!
Leo nimejitokeza humu jamvin japo nami nipate kunena.ni mengi nayasikia,mengine nayasoma humu jamvini na kila m1 ana mtazamo wake kuhusu amani ya nchi yetu.kiukwel 2mefika mbali watanzania,leo hii 2natekana wenyw,2natesesana nusura ya kuuana,2napigana na kuuana kisa siasa na dini...2naenda wapi?
Ndugu mtanzania mwenzangu,vita 2liyokuwa nayo wakati 2napata uhuru ilikuwa ni kupambana na maadui ujinga,umaskin na maradhi.lakn kabla ha2jamaliza kuwashinda hao maadui wa3,wakaibuka maadui wawil; rushwa na ufisadi.vita ya hawa mabwana wawili imekuwa kali zaid kwn kila kukicha hali inazd kuwa mby kwa mtanzania wa leo ambae kula na kulala kwake ni kwa shida 2pu.
Ona haka kamchezo,mafisadi baada ya kuona vita imekuwa kali zidi yao,wameamua kuja na njia mbadala ya ku2pandikiza chuki za udin ndan ye2 na ku2tenga kisiasa.kweli wanaelekea kushinda kwan kwa sasa watu 2naelekea kusaau vita zidi yao na sasa 2napgana wenyw kisa udini na tofaut za kisiasa ingawa udin ndo umeshika kasi zyd...NDO 2NAFANYA NN SASA?
Ewe ndugu yangu mtanzania,aman ya kweli ya nchi hii haipatkan kwa njia ya mapgano.kumbuka ktk kupgana kwetu,ashindwaye hupata hasara kubwa ya kupoteza ndugu,jamaa na marafk kadhalika hata mali pia hupoteza.lakin vivyo ivyo yeye ashindae asidhan kapoa kwan ataandamwa na visasi visivyo na mwisho.ebu 2jifunze kwa israel na palestina basi.
WATANZANIA WENZANGU EBU 2KAE CHINI 2TAFAKARI KWA KINA KWANN 2NAELEKEA KULIKO NA MATATIZO ZAIDI?AMANI YA NCHI HII IKISHAPOTEA,KUIRUDISHA KWAKE LABDA WASHUKE MALAIKA KUTOKA JUU.
Mimi na wewe 2kiamua,2naweza kuzuia yote hayo yasitokee.2achane na habari ya udini na tofauti za kisiasa,2ishi km zaman kwa aman na umoja.
VITA YETU IWE MOJA,2PAMBANE NA UFISADI ILI 2BORESHE MAISHA YETU NA KUWEKA USAWA KATI YA WENYE NACHO NA WASIO NACHO...nawasilisha hoja wakuu