Recent content by benyx

  1. B

    Matumizi ya x sehemu ya s

    hii nd style yang y kuandik x badal y s zoea au potezea
  2. B

    Majibu yanayoniboa ninapochat na mtu kwenye simu

    🤣🤣🤣 ni mazoea tu mzee ....nikikuandikia msg 10 labd 5 tu nd utaelew au kuung manen
  3. B

    Wale wa muvi tamtam tuje huku

    nimeshaichukua hii
  4. B

    TBT: Unakumbuka nini enzi ya Ngorika ikitamba?

    Jamaa walikua wanakimbia sana enzi za 2008, ukitaka kuwahi we panda ngorika moto mchibuyu
  5. B

    Wale wa muvi tamtam tuje huku

    n the message man..thanks inaonekan ni nzur
  6. B

    Ndoa mashakani: Nina miaka 30, sina hamu na tendo la ndoa!

    nionavyo mimi ni kua umepata mshtuko na uoga akilini kutokan n kujifungua either kwa tabu au kwa mateso..hvyo shida yako inawez kua n kiakili zaid kuliko hormone...! tafakari jiuliz alaf ongea n mwenzio awek akil yak sawa!! u know urself better
  7. B

    Najua wengi wao watakosea hili

    F zipo 7
  8. B

    Kuna uhuni mwingine ata shetani hajawahi kuufanya

    ukifwatilia utakuta hili shati kaliiba ...sas ukikat km hivy unapotez ushahid alaf hain kufua likichafuka unaiba lingin unakata
  9. B

    Tuwafanyeje hawa watoto? Tuendeleze vipaji vyao au tuwafungulie kesi?

    basi bongo tungefungwa wengi maan enzi zetu lazm picha y Mwl uiongezee maskio mdomo mashavu
  10. B

    Naombeni ushauri rafiki yangu anaoga dawa nje usiku was saa 7

    jua jambo moja: kuoga dawa nje usiku wa manane sio ushirikina..ni mashart tu ya dawa..! hawez kukudhulu
  11. B

    Gari la serikali STL 6258 likivunja sheria!

    [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
  12. B

    Gari la serikali STL 6258 likivunja sheria!

    upuuuzi tu unajua nani yupo ndani, ? kabeba nin? anawahi wapi? nani aneendesha? ..ni kweli hati ya serikali?..is it a matter of life and death?...kam hun majib siku nyingin usipost upuuz kam huu
  13. B

    Ni birthday yangu 50 years

    dah hongera aisee kw usaw huu cjui kam tutafik huko vijan wa leo
  14. B

    Kama ningejua shemeji yupo hivi nsingeruhusu Dada yangu aolewe naye. Nataka nivunje ndoa yao.

    yule dada yako ndo huyu? Inaumiza sana: Dada kaolewa bila mahari, yaani kizembe tu Inaumiza sana: Dada kaolewa bila mahari, yaani kizembe tu - JamiiForums
Back
Top Bottom