TBT: Unakumbuka nini enzi ya Ngorika ikitamba?

TBT: Unakumbuka nini enzi ya Ngorika ikitamba?

Naikubali sana ngorika naikumbuka wakati nasoma iaa ilikua atar chin ya dereva mmoja anaitwa manyaunyau aisee ikifika pale mianzin inapgwA kinoma alafu inawapambe balaaa,nataman hii kampun ije uku kucn maana ingeleta mabadilko Makubwa
Anaitwa kinyaunyau alishakula vichwa bus zima Kenya akatoka yeye tu, now days yupo barabara ya Mwanza to Arusha
 
anaitwa kinyaunyau alishakula vichwa bus zima kenya akatoka yy tu now days yupo barabara ya mwanza to arusha
Hakuna dereva ngorika akiitwa kinyaunyau, ni anko manyau yuko zake Mwanga kapumzika, wala hajawahi pata msala Kenya, twende sawa
 
Jamaa walikua wanakimbia sana enzi za 2008, ukitaka kuwahi we panda ngorika moto mchibuyu
 
Hivi dereva akiangusha gari, gari likaharibika huwa anamlipa tajiri gari lake?
 
anaitwa kinyaunyau alishakula vichwa bus zima kenya akatoka yy tu now days yupo barabara ya mwanza to arusha
Duuh alafu hata sisi pale Wami siku ilimshinda akamwambia konda baba jiokoe mwenyewe ila Mungu saidia alinusuru ila kiukweli wale walikua washindani wa kweli
 
Back
Top Bottom