Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,200
Huu ni mfano tu wa uhuni huo ila kuni uhuni nyingine nyingi sana.
Pale mwalimu anapomwambia mwanafunzi Avue sweta akague usafi wa shati lake la ndani na hicho ndio anachokikuta,
Uuh uhuni sizani kama ata shetani alishawahi kuufanya unafikiri atakuwa ni mwanafunzi wa wapi huyu?
CC Zero IQ