Ndoa mashakani: Nina miaka 30, sina hamu na tendo la ndoa!

Ni matumaini yangu mu wazima....

Mimi ni mwanamke, 30s nipo kwenye Ndoa mwaka wa tatu na nina mtoto mmoja... Tatizo ni kuwa sina hamu kabisa ya tendo la Ndoa, yani sitak hata kusikia,
Mme wangu huwa anapenda sana huu mchezo wa wakubwa hali ilyopelekea ugomvi kila siku, basi sometimes najilazmisha ili mradi tu Mambo yaende,..
Chakushangaza huu mwezi wa pili unaisha hatuna tena ugomvi wala hanianzi wala kuzungumzia habar za sex
Imeibid akili ikae sawa, vinginevyo apa naona kabsa Ndoa iko mashakani,,,, katika tafuta ufumbuzi nmeshauriwa kutumia dawa inaitwa Spanish fly pro,
Naomba kwa anaejua wapi naweza pata na bei yake au pia suluhisho mbadala
Natanguliza shukurani.
Napatikana Dar
Punguza msongo wa mawazo,utafurahia tena tendo la ndoa.
 
1. Humpendi mumeo
2. Uliolewa kwa shinikizo fulani
3. Aina ya vyakula unavyotumia
4. Unatumia dawa za uzazi wa mpango
5. Uko busy kupita maelezo
6. Una stress
7. ........
 
Namba 3 sina utalamu, sijui Kama ni sababu au la
Hivyo vingne vyote majibu ni HAPANA
1. Humpendi mumeo
2. Uliolewa kwa shinikizo fulani
3. Aina ya vyakula unavyotumia
4. Unatumia dawa za uzazi wa mpango
5. Uko busy kupita maelezo
6. Una stress
7. ........
 
1. Humpendi mumeo
2. Uliolewa kwa shinikizo fulani
3. Aina ya vyakula unavyotumia
4. Unatumia dawa za uzazi wa mpango
5. Uko busy kupita maelezo
6. Una stress
7. ........
Hapo namba 7 itabidi nichepuke nae ili kumrudisha katika hali yake ya kawaida...

Mama Laden nitakutafuta kwa muda wangu, ili tuyajenge...
 
Itakuwa huo ungonjwa wa kukosa hamu umesha muambukiza tayari mumeo.

So ukitafuta dawa ya kuongeza hamu yako utakuwa unamtafutia shida pia.Think!
 
Ni matumaini yangu mu wazima....

Mimi ni mwanamke, 30s nipo kwenye Ndoa mwaka wa tatu na nina mtoto mmoja... Tatizo ni kuwa sina hamu kabisa ya tendo la Ndoa, yani sitak hata kusikia,
Mme wangu huwa anapenda sana huu mchezo wa wakubwa hali ilyopelekea ugomvi kila siku, basi sometimes najilazmisha ili mradi tu Mambo yaende,..
Chakushangaza huu mwezi wa pili unaisha hatuna tena ugomvi wala hanianzi wala kuzungumzia habar za sex
Imeibid akili ikae sawa, vinginevyo apa naona kabsa Ndoa iko mashakani,,,, katika tafuta ufumbuzi nmeshauriwa kutumia dawa inaitwa Spanish fly pro,
Naomba kwa anaejua wapi naweza pata na bei yake au pia suluhisho mbadala
Natanguliza shukurani.
Napatikana Dar

nionavyo mimi ni kua umepata mshtuko na uoga akilini kutokan n kujifungua either kwa tabu au kwa mateso..hvyo shida yako inawez kua n kiakili zaid kuliko hormone...! tafakari jiuliz alaf ongea n mwenzio awek akil yak sawa!! u know urself better
 
Ni matumaini yangu mu wazima....

Mimi ni mwanamke, 30s nipo kwenye Ndoa mwaka wa tatu na nina mtoto mmoja... Tatizo ni kuwa sina hamu kabisa ya tendo la Ndoa, yani sitak hata kusikia,
Mme wangu huwa anapenda sana huu mchezo wa wakubwa hali ilyopelekea ugomvi kila siku, basi sometimes najilazmisha ili mradi tu Mambo yaende,..
Chakushangaza huu mwezi wa pili unaisha hatuna tena ugomvi wala hanianzi wala kuzungumzia habar za sex
Imeibid akili ikae sawa, vinginevyo apa naona kabsa Ndoa iko mashakani,,,, katika tafuta ufumbuzi nmeshauriwa kutumia dawa inaitwa Spanish fly pro,
Naomba kwa anaejua wapi naweza pata na bei yake au pia suluhisho mbadala
Natanguliza shukurani.
Napatikana Dar
Dada satisfaction of a man ni sex.Ulifanya makosa kutokumshirikisha mmeo juu ya hali yako pengine mngetafuta ufumbuzi pamoja ndo maana ya ndoa.Kwan huyo aliyekushauri hiyo dawa hukumwuliza inapatikanaje? Hata ikipatikana mi naona haitakuwa suruhisho la kudumu,kumbuka bado una miaka 30 tu.Je utatumia hiyo dawa hadi mauti? Tatizo nilionalo ni wewe mwenyewe maana tangu mwanzo umesema hupendi hilo tendo kwa hiyo akili yako ndo imejiweka hivyo na bahati mbaya nahis hata mmeo ulikuwa ukimjibu vby pindi anapohitaji hivyo umemfanya ku give up na kutafuta mbadala.Nakushauri mshirikishe mmeo hali uliyonayo ukianza kutafuta suruhu mwenyewe utaingizwa mkenge na hutapata suruhu kamwe.
 
Ni matumaini yangu mu wazima....

Mimi ni mwanamke, 30s nipo kwenye Ndoa mwaka wa tatu na nina mtoto mmoja... Tatizo ni kuwa sina hamu kabisa ya tendo la Ndoa, yani sitak hata kusikia,
Mme wangu huwa anapenda sana huu mchezo wa wakubwa hali ilyopelekea ugomvi kila siku, basi sometimes najilazmisha ili mradi tu Mambo yaende,..
Chakushangaza huu mwezi wa pili unaisha hatuna tena ugomvi wala hanianzi wala kuzungumzia habar za sex
Imeibid akili ikae sawa, vinginevyo apa naona kabsa Ndoa iko mashakani,,,, katika tafuta ufumbuzi nmeshauriwa kutumia dawa inaitwa Spanish fly pro,
Naomba kwa anaejua wapi naweza pata na bei yake au pia suluhisho mbadala
Natanguliza shukurani.
Napatikana Dar
Uko kwenye cave mkuu,, wala usihofu utarudi kwenye mood tu
 
Medically shida ni hormones
Spiritually shida ni spiritual husband
Psychological shida ni huwezi kubalance affection kati ya baba na watoto

My sister chakula cha kwanza cha mume ni tendo if you starve him unafikiri atakula wapi??tena una bahati anakubembeleza kabisa huyo alikuwa anakupenda

Ameshachepuka ujue anza makombora ya kurudisha majeshi main points zipo juu nimekutajia
 
Imebidi nicheke.Nakumbuka rafiki yangu nayeye mke wake alikuwa anamfanyia hivyo kila siku mwanamke anajifanya yupo busy mala hajisikii siku nyingine anasema amechoka.

Nikamshauri akikunyima wewe piga Punyeto mbele yake na kama ataendelea kukufanyia hivo usimuulize chochote na wala usiombe sex kwake tafuta msichana wa kumaliza haja zake.
Matokeo yalikuwaje?
 
Ni matumaini yangu mu wazima....

Mimi ni mwanamke, 30s nipo kwenye Ndoa mwaka wa tatu na nina mtoto mmoja... Tatizo ni kuwa sina hamu kabisa ya tendo la Ndoa, yani sitak hata kusikia,
Mme wangu huwa anapenda sana huu mchezo wa wakubwa hali ilyopelekea ugomvi kila siku, basi sometimes najilazmisha ili mradi tu Mambo yaende,..
Chakushangaza huu mwezi wa pili unaisha hatuna tena ugomvi wala hanianzi wala kuzungumzia habar za sex
Imeibid akili ikae sawa, vinginevyo apa naona kabsa Ndoa iko mashakani,,,, katika tafuta ufumbuzi nmeshauriwa kutumia dawa inaitwa Spanish fly pro,
Naomba kwa anaejua wapi naweza pata na bei yake au pia suluhisho mbadala
Natanguliza shukurani.
Napatikana Dar
Pole madam ila usihangaike njoo fasta inbox nkupe code
 
Back
Top Bottom