Recent content by benon

  1. B

    JamiiForums Tanzania Maswali ya usahili TRA

    What is MAKINIKIA Sent using Jamii Forums mobile app
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nimeanza Ommy Dimpoz, wengine mnafuata

    Yaan sijapenda alichokifanya ila kimenifurahisha. ...yaan kama kunywa chai, tamu lakin ya moto Sent using Jamii Forums mobile app
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nimeanza Ommy Dimpoz, wengine mnafuata

    Wakati diamond anamwambia mwenzake anapumuliwa KISOGONI hukuona kama ni tatizo....at least now mmekuwa kwenye attention. ......ommy matusi yote alikuwa anakaa kimya leo. ....mnamwandama. ..kawakomesha shubati!!!!!!!! Mfundeni mswahili wenu ...Tatizo malezi ya kiswaziiiiii yakutane na ulimbukeni...
  4. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliemshauri ali Mayai kugombea Mungu anamwona

    Hii mada yungeikaushia tuu! Mtoa mada yupo kazini ....tunavyojibu anakamilisha kazi yake
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimaye TFF waipa Simba barua ya hukumu na kuwataka waende FIFA

    Kitu Mungu alitunyima Watz ni vya muhimu sana.... Honesty. .......Intelligency. .....Humanity. ....Understanding. ..... Patient. ...hakuna siku Watz wote watakuja kuja kusimama kwa pamoja kwenye kitu kimoja..cha msingi ni either simba or yanga. .,dai or kiba....ccm or ukawa.....bashite or...
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe umechemka.

    Nadhani, Eddo katoa mawazo yake....kama we unavyotoa yako hapa na huku wengine tukitoa mawazo yetu kwenye mawazo yako...kama we ulivyotoa mawazo yako kutoka kwenye mawazo ya Edo. Nadhani Watz inabidi tujifunze kuheshimu mawazo ya mtu...hata kama ni kinyume cha mawazo yako
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mzungu angeongoza Tanzania!

    Kutokana..na ulichoandika...nimeelewa kuwa una blame..upande wa pili na wa tatu...democracy ina sehemu tatu..utawala...upunzani..na wananchi...ukiangalia...matatizo mengi ya kisiasa..barani Africa yanaletwa..na upande wa serekali..pale wanapitakiwa..kuwajibika..kwa jambo flani...hasa kama jambo...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mziki wetu Unapotea kwasababu ya Team

    Saaafi sana....huo ndo ukweli....mwenye kushinda kashinda...kushindwa kashindwa...watu wajipange upya...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mrejesho Interview ya NMB

    Ila nadhani huu mpango ni mzuri unasaidia kuondoa bias....sema type of questions na jinsi wanavyoendesha zoez...kuna mapungufu..kidogo...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mrejesho Interview ya NMB

    Sijaelewa pale walikuwa wanapima...nini kwa maana...Hata uwe fresh from school huwez solve maswali 18 ya hesabu kwa dakika 14...halafu maswali yenyewe vigongo...
  11. B

    JamiiForums Tanzania PPF Liason interview

    kulitokea nini mkuu...tafadhali tufungue macho wengine ili tusijisumbue
  12. B

    JamiiForums Tanzania Vigogo wanatumia hela kupindisha sheria

    Jamani kuna wakazi tumekatiwa umeme maeneo ya mwenge hii ni siku ya sita...kisa kuna kigogo anataka kujenga hoteli na nguzo ipo kwenye eneo lake nyaya zimeachwa zimeninginia na hao tanesco waliokuja kukata walishuka kwenye hilo gari la huyo kigogo tunafanyaje hapo?na hiyo nguzo inasambaza...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Vurugu za jana Bungeni: Chanzo ni Mhe. Job Ndugai!- Ni Dikteta Hatari Kuliko Spika Anne Makinda!.

    Kwanza kabisa kaka spika ndo mkuu wa bunge kwa kifupi bunge ni himaya yake. Waziri mkuu ni msimamizi wa shughul za serikali bungeni kumbuka excative na parliament ni vitengo tofauti excutive kinaongozwa na rais na bunge n spika... kwa hiyo hata kama ni wazir mkuu akiambiwa akae bungen hana budi...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Nape na kundi lake kumtoa KAFARA Lowassa,CHADEMA tusikubali kunasa ktk Mtego huu!!

    We acha mbwembwe baba wa taifa kapumzika kwa amani. Usimujumuishe kwenye ngonjera zako. Jiheshimu
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mimi siyo shoga jamani

    afanye action moja tu tutamuamini...............
Back
Top Bottom