Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,915
- 30,027
PPF ratio 1:500+Naona kabisa kuna watu watachoma nauli zao bure, na kupoteza muda! Ratio ni 1:74
PPF ratio 1:500+Naona kabisa kuna watu watachoma nauli zao bure, na kupoteza muda! Ratio ni 1:74
Umenikumbusha mbaliKwanini Usimpe haya
1. Define the term Smuggling as Used in Tanzanian's Tax Law.
2. Powers Given to prevention of Smuggling Officer
3. Differentiate between Districted and Prohibited goods
4. Mention 5 Restricted items under the EACMA
List 5 prohibited items under the EACMA
5. Describe the following terms as Used in VAT Act
(a) Zero Rated Supplies
(b) Exempt Supplies
(c) Standard Supplies
(d) Out of VAT Scope
6.Differentiate between Identical items and Similar items
7.List items which are included in calculation of
-Business income
-investment income
-Employment income
8.
mtihani ulikuwa noma asikwambie mtuacha kuwadanganya huo mchakato wote unasimamiwa na utumishi wenyewe pale kuna kila wataalam wana andaliwa kwa kila interview
kesho nini tena maana kusoma kuelewa kukesha mbwembweAGOA na makinikia yamehusika leo kwenye Customs officer
Hayo maswali ni meupe sana..nimesoma maswali waliopewa...ni balaa..kwa muda wa saa 1 hatoki mtu
Ule mtihani ndio kipimo kizuri cha watu makini lakini kama mtu hushinda kwenye timu Kiba na Mondi hakika hatopata hata kipengele kimoja.....mtihani ulikuwa noma asikwambie mtu
Hahaha hili lilikuwa tango pori vipi umebahatika kuyaona hayo maswali ya leo??Kwanini Usimpe haya
1. Define the term Smuggling as Used in Tanzanian's Tax Law.
2. Powers Given to prevention of Smuggling Officer
3. Differentiate between Districted and Prohibited goods
4. Mention 5 Restricted items under the EACMA
List 5 prohibited items under the EACMA
5. Describe the following terms as Used in VAT Act
(a) Zero Rated Supplies
(b) Exempt Supplies
(c) Standard Supplies
(d) Out of VAT Scope
6.Differentiate between Identical items and Similar items
7.List items which are included in calculation of
-Business income
-investment income
-Employment income
8.
mh sema hata kama unafahamu cyo kwa kushtukiza japo nalaumu sana usimaizi wa mtihani watu hadi wana chabo lakini wanapetaUle mtihani ndio kipimo kizuri cha watu makini lakini kama mtu hushinda kwenye timu Kiba na Mondi hakika hatopata hata kipengele kimoja.....
Hata swali la Makinika mtu anakosaje na tumejadili miezi 3?
makinikia peke yake itakutoa?Ule mtihani ndio kipimo kizuri cha watu makini lakini kama mtu hushinda kwenye timu Kiba na Mondi hakika hatopata hata kipengele kimoja.....
Hata swali la Makinika mtu anakosaje na tumejadili miezi 3?
one man down, tuonane matokeo yakitokakama mweupe kusoma habari na mageziti huchomoi
Mi Nlivyoona tu alietoa ni M-Lumumba nikajua kabisa hakuna kitu paleHahaha hili lilikuwa tango pori vipi umebahatika kuyaona hayo maswali ya leo??
Sasa kama mawaziri kuna wapumbavu hawa Lumumba wa humu jf sijui watakuwa kwenye kundi lipiMi Nlivyoona tu alietoa ni M-Lumumba nikajua kabisa hakuna kitu pale
Ha ha haaa,Sasa kama mawaziri kuna wapumbavu hawa Lumumba wa humu jf sijui watakuwa kwenye kundi lipi