Aliemshauri ali Mayai kugombea Mungu anamwona

ukipata ziro unaruhusiwa kurudia mitihani,mfumo wa elimu huuelewi
acha mbwembwe wewe form four anasoma diploma bila kwenda form six ,ukipata ziro unapotezea six unakuwa form four.hata chuo kikuu unaenda kwa form four kwa mature age
 
acha mbwembwe wewe form four anasoma diploma bila kwenda form six ,ukipata ziro unapotezea six unakuwa form four.hata chuo kikuu unaenda kwa form four kwa mature age
unaturudisha kwenye mikataba ya madini tulivyopigwa; huu ni kihiyo wa elimu; bado muda anao arudie tu form six kama Elimu ni rahisi kiasi hicho.
 
unaturudisha kwenye mikataba ya madini tulivyopigwa; huu ni kihiyo wa elimu; bado muda anao arudie tu form six kama Elimu ni rahisi kiasi hicho.
kama ana masters haiwezekani awe karuka hatua,unaweza kuanzia certificate hadi degree,kama umepita shule utaelewa
 
Si Mayai wala Malinzi wanaofaaa kuwa viongozi wa TFF....kile kiti aachiwe Mh. rais wetu Magufuli, atakikaimu vizuri tu. Hawa Wasiokula mayai na wenzao wanataka kwenda kuiba tu na kulilostisha soka la Tanzania.
 
Mkuu, kumbuka kuwa hapa ni mahali 'patakatifu', siyo sehemu ya kupost chochote hata kama ni hisia zako. Kama una ushahidi wa hizi tuhuma zako, tafadhali eleza kwa upana na kuambatisha nyaraka husika zinazothibitisha madai yako.

Bila ushahidi wa hizi tuhuma, wewe utahesabika kama unatumiwa tu. Ni hayo tu Mkuu wangu.
UNATAKA TULIAMUSHE DUDE; SUBIRI MUDA UKIFIKA .............ATAONGOZA TFF KAMA MAKONDA ANAVYOONGOZA DAR

MUDA UKIFIKA VYETI VITAWEKWA WAZI ; UDANGANIFU ALIOUFANYA CBE .
 
UNATAKA TULIAMUSHE DUDE; SUBIRI MUDA UKIFIKA .............ATAONGOZA TFF KAMA MAKONDA ANAVYOONGOZA DAR

MUDA UKIFIKA VYETI VITAWEKWA WAZI ; UDANGANIFU ALIOUFANYA CBE .
Hilo Dude liamshe sasa hivi kabla hatujafika mbali. Kama huwezi kuliamsha sasa hivi basi ukae kimya milele.
 
Hii mada yungeikaushia tuu! Mtoa mada yupo kazini ....tunavyojibu anakamilisha kazi yake
 
Pengine nisingependa kumlalamikia mayai kwa kugombea uenyekiti

Kiukweli kabisaaa aliemshauri ali mayai kugombea aje kuaibikia tff Mungu anamwona

Labda amkujua ana familia yake nayo akijitangaza hivi wako nyuma yake wakitarajia makubwa. Napenda nikuhakikishie RAISI MTARAJIWA TFF N YULE YULE
JAMAL MALINZI

Hakuna mkate utakaoshindana na chai hata iwe ya Rangi..kaka mayai hakuliona hiili..sifa kubwa ukifikia kugombea hata yule aliieshinda huwa anaangalia fadhila wapi pa kukuhifadhi tff ama uoshe oshe vyombo ama kukaribisha wageni pale tff

Naamini kabisa Ali mayai na mnaotarajia kwake anamfwata soon Nyamlani kUjitoa((angalia na mda )mtaniambia

MH Malinzi naamini kabisa hatokuwa na chuki tutakuingiza kwenye vijikamati kama 72h,,nk

Kila la kheri JAMAL MALINZI
VOTE4JAMALMALINZI

[HASHTAG]#TMJMSECONDTERM[/HASHTAG]
Wahaya utawajua tu
 
Aaah,inaudhi!
Rais wa nchi-Kagera line.
Rais wa Tff-Huko huko
Hapana!
 
MKUU TFF SIOO STATION YA TV AMA REDIO ILE. NI TAASISI YA KUENDELEZA MAENDELEO YA MPIRA WA MIGUU NA JAMAL AMETUFIKISHA PAZURI ANAITAJI KUMALIZIA KUIWEKA HII NCHI PANAPOSTAHILI. .

VOTE4JAMALMALINZI

[HASHTAG]#tmjmsecondterm[/HASHTAG]
Pdidy huyu Malinzi amalizie nini alichokibakiza? Kwani nyasi hazijakamilika Kaitaba? Au Aje amalizie zile pesa alizoziacha kwenye Account ya TFF?
 
Back
Top Bottom