Mzungu angeongoza Tanzania!

Mzungu angeongoza Tanzania!

.......... natamani wale wote wanaopinga juhudi za serikali wafe wote kabisa. Natamani watetezi wa mafisadi na wauza madawa ya kulevya wafe kabisa kesho kesho tu
 
Kuna maswali kadhaa pale nimekuuliza lakini hujajibu hata moja!

Utamu wa mjadala ni kwamba, ukiulizwa swali unatakiwa kwanza ujibu nddipo nawe uulize swali au maswali!
Maswali yako sijayaona bado. maana nilikuwa busy kidogo. Nitayajibu yote. Ila na wewe unaedai mawaziri wameamua kukaa kimya kwani kabla ya Makonda walikuwa wanafanya nini na wauza madawa ya kulevya? au ndo walikuwa wanatumia hizo "approach"
 
Huo uelewa mpana wa unaupima kwa vipimo vipi?

Ujinga wa wananchi unatumiwa na pande zote mbili za upinzani na ccm.

Mwambie huyo amesahau boda boda walivyokuwa wanatumiwa na chadema wanajaziwa mafuta au wananchi walivyokuwa wanatumiwa kumpigia deki barabara Lowasa halafu wanawapiga picha kusambaza Dunia nzima kusema Lowasa kadekiwa barabara?
 
Wakati Hitler anaingia madarakani watu walishangilia sana. Alipozoea madaraka walijuta. Kujuta ni process haiji kama mwanga unapowasha bulb kwenye chumba chenye giza. Tusubiri.

Ni nani amekwambia watu walijuta Hitler alivyoondoka? Unaujua mchango wa NAZI Germany wewe kwa nchi ya Ujerumani, USA, Soviet Union, Afrika Kusini na Ulaya, kwa ujumla?
 
Maswali yako sijayaona bado. maana nilikuwa busy kidogo. Nitayajibu yote. Ila na wewe unaedai mawaziri wameamua kukaa kimya kwani kabla ya Makonda walikuwa wanafanya nini na wauza madawa ya kulevya? au ndo walikuwa wanatumia hizo "approach"
Acha janja janja wewe... jibu kwanza hayo maswali! Swali lako ni jepesi kama kufumba na kufumbua na nitakujibu lakini jibu kwanza maswali niliyokuuliza! Kama hukuyaona, haya hapa:
Hoja si kuwepo shisha... don't exaggerate! Issue ni Kamanda Sirro kushukiwa ikiwa alizidaka million za wauza shisha!

Labda umesahau, jikumbushe:

Sirro.png

Kuonesha tuhuma za Makonda dhidi ya Kamanda Sirro hazikuwa tuhuma za mchezo mchezo; kumbe jeshi la polisi likatia nia ya kumfanyia uchunguzi Sirro!!

Maswali:

1. Matokeo ya uchunguzi huu yameshatoka au uchunguzi bado haujafanyika?! Kama matokeo yameshatoka na Kamanda Sirro kusafishwa, unaweza kuweka hapa ili tuhuma dhidi ya Sirro zifutike rasmi?!

2. Na ikiwa uchunguzi haujafanyika wakati jeshi la polisi liliona hili ni suala linalohitaji kufanyiwa uchunguzi; inakuwaje tena kamanda yule yule aliyetiliwa shaka huenda amekula rushwa za wauza shisha leo hii anafanya kazi na yule yule aliyemtuhumu dhidi ya wale wale wanaohusika na mihadarati?!

3. Upi usahihi katika hili: Ni kwamba Makonda aliamua tu kumchafua Kamanda Sirro na ndio maana bado anafanya nae kazi kwa kuwa anafahamu kwamba alimsingizia au Makonda ameamua kufanya kazi na mtu mwenye tuhuma za kula rushwa za wauza mihadarati?

4. Ikiwa jibu hapo juu ni kwamba Makonda anafahamu Kamanda Sirro hakula rushwa kama alivyopata kumtuhumu hadharani; kuna tofauti gani basi na anachofanya sasa kutuhumu watu hadharani bila kuwa na ushahidi?!

5. Na kama jibu ni kwamba bado Makonda anaamini Siiro huenda alishachukua chake kutoka kwa wauza mihadarati; kwanini leo hii tusiamini hizi zote ni drama kwa sababu yule yule aliyetuhumiwa kupiga pesa za wauza mihadarati ndo huyo huyo leo hii tunaambiwa anatekeleza maagizo ya Makonda dhidi ya wauza mihadarati wengine ambao ni matajiri maradufu ukilinganisha na wale wa awali?!
 
Acha janja janja wewe... jibu kwanza hayo maswali! Swali lako ni jepesi kama kufumba na kufumbua na nitakujibu lakini jibu kwanza maswali niliyokuuliza! Kama hukuyaona, haya hapa:
Umenisaidia sana kuokoa muda wangu. Maana nilikuwa natafuta hayo maswali uliyodai umeuliza ili nikusaidie nikawa siyaoni. kumbe Taarifa ya Sirro kuchunguzwa kuhusu tuhuma za kupokea rushwa ya shisha ndiyo unaiita swali?
Sasa najua napoteza muda na wewe, maana kama unashindwa hata kujua tofauti ya taarifa na swali utaweza kweli kuelewa hoja zangu? Swali huwa kama hivi:
Hao mawaziri unaodai sasa wamekaa kimya kwani walikuwa wanafanya nini kuhusu madawa ya kulevya kabla makonda hajawafanya wakae kimya? au ndo walikuwa wanatumia hizo "approach" unazozisifia miaka yote?
 
Simple and clear, umeshindwa kujibu!!! Nimekupa taarifa kukuweka sawa, taarifa ambayo imefuatiwa na maswali! Jibu hayo maswali na kama umeshindwa; sema umeshindwa!!!
 
Kwa sababu ndivyo ilivyo. Ni impossible kwenye any knowledgeable society kuendelea kutawala kwa miaka zaidi ya 50 bila kuonyesha ulichofanya kwa manufaa ya society hiyo na resources ulizonazo.
Ndiyo maana nauliza kwanini mnasema ccm tu ndiyo inatumia ujinga wa wananchi?
Kwenye hii jamii ya wajinga hata hao wengine pia hutumia ujinga wa wananchi na si ccm tu.
 
Wakati Hitler anaingia madarakani watu walishangilia sana. Alipozoea madaraka walijuta. Kujuta ni process haiji kama mwanga unapowasha bulb kwenye chumba chenye giza. Tusubiri.
Hivi kwanini Hitler tu?maana panapozungumziwa udikteta basi yeye ndiyo mfano.
 
Mwambie huyo amesahau boda boda walivyokuwa wanatumiwa na chadema wanajaziwa mafuta au wananchi walivyokuwa wanatumiwa kumpigia deki barabara Lowasa halafu wanawapiga picha kusambaza Dunia nzima kusema Lowasa kadekiwa barabara?
Ndipo hapo mi naposhangaa,hawaoni jinsi wanavyotumia ujinga huo huo.
 
Afrika kuna nchi ambazo hazina hiyo demokrasia, akisemacho rais ndicho kinatendeka lakini bado na wao tunaona wapo nyuma.
Pia kunazo nchi zenye demokrasia ya maigizo isiyokua ya kweli, lakini pia na wao wapo nyuma. Sasa unaposema nchi za Afrika zitaendelea tu kwa kunyimwa demokrasia, hujatuonyesha mfano wa nchi moja ya Kiafrika ambayo haina demokrasia lakini ipo mbele kimaendeleo.
 
Simple and clear, umeshindwa kujibu!!! Nimekupa taarifa kukuweka sawa, taarifa ambayo imefuatiwa na maswali! Jibu hayo maswali na kama umeshindwa; sema umeshindwa!!!
Hebu yacopy na kuyapaste hayo maswali unayoyaona kwenye hiyo taarifa ili nikusaidie. Maana naona umekazana tu kuna maswali kuna maswali! lakini unashindwa kuyaweka bayana. kama hujui kucopy na kupaste omba msaada jirani yako akusaidie ili uweze kueleweka maswali yako usaidiwe.
 
You're kidding, right?! Ushaniona sina kazi kila wakati niwe na-copy maswali na kukuwekea?! Kama umeshindwa kuyaona nilivyokuwekea mara ya pili then there's no way utaweza kuyaona hata nikikopi tena na tena!

But more important, I don't have that time!!!!
 
Afrika kuna nchi ambazo hazina hiyo demokrasia, akisemacho rais ndicho kinatendeka lakini bado na wao tunaona wapo nyuma.
Pia kunazo nchi zenye demokrasia ya maigizo isiyokua ya kweli, lakini pia na wao wapo nyuma. Sasa unaposema nchi za Afrika zitaendelea tu kwa kunyimwa demokrasia, hujatuonyesha mfano wa nchi moja ya Kiafrika ambayo haina demokrasia lakini ipo mbele kimaendeleo.

Na ndiyo maana kama ukitumia muda kidogo kusoma baadhi ya niliyoandika kuna mahali nimetumia neno benovalent dictator hao unaowaongelea wewe wa Afrika siyo benovalent dictators bali ni criminals!
Nchi changa na iliyo nyuma kimaendeleo kama Tanzania yetu bila ya benovalent dictator wa kuweka mambo muhimu sawa kwanza hakuna kitakachofanyika hata miaka 100 ijayo, wananchi watakuwa wanatumiwa kupewa fedha kudeki barabara za Wanasiasa baada ya uchaguzi wanaachwa na kurudiwa tena baada ya miaka 5 na cycle kujirudia hivyo maisha yote!
Nchi zote zilizofanikiwa kujenga Civilization leo hii zilijengwa na benovalent dictators, na ndiyo maana Wakoloni walijenga Afrika siyo kwa kutumia demokrasia bali Udikteta Mfalme/Malkia yuko Ulaya anatuma Gavana kutawala Afrika na ndiyo walioweka Mipango Miji na kujenga baadhi ya Miji tunayoishi leo hii, Miundo mbinu kama Umeme, Maji, au hata Elimu tunayoitumia leo hii, ukilinganisha maendeleo yaliyoletwa na demokrasia ya Afrika baada ya Uhuru na Udikteta wa Kizungu wakati wa Ukoloni utaona kwamba Udikteta wa Kikoloni umefanya mengi zaidi na hilo halina ubishi!

Mifano hai iko mingi, tangu Raisi wa JMTZ akataze Mikutano ya kisiasa kwa wasiochaguliwa na Wananchi na kwamba Wabunge kama wanataka kufanya Siasa na Mikutano waende kwa wananchi wao Majimboni walikochaguliwa Wabunge hawataki hilo, wanataka waruhusiwe kufanya Mikutano Dar sehemu ambapo hawajapigiwa kura, lkn waliowaingiza Bungeni ni Wananchi wa Jimboni walikotoka sasa kwanini hawataki kwenda kuwatumikia?
 
Kama mtoto wa Kikwete anauza unga mbona hamjamwita polisi ? Mabavu ya Magufuli yakowapi kama unasema mtoto wa Kikwete anauza unga na hakatwi?

Ndiyo maana huko nyuma nilisema kina Makonda wasitumie unafiki.....yabidi kumkamata Ridhiwani pia na kumboji.
 
Leo hii Mzungu, Mjapani, au hata Mchina na Mkorea ukimpa nafasi ya kuongoza Tanzania hataruhusu demokrasia!
Jambo la kwanza kabisa atakalo lifanya ni kusitisha kila kitu na kuongoza nchi kwa decree kwa miaka kama 50 au zaidi, ndiyo aje kuruhusu, kuna sababu kwa nini apartheid AK Wazungu walikataa Waafrika wasipige kura kuwachagulia Viongozi!

USA ilianzishwa miaka ya 1700 lkn Wanawake walianza kupiga kura mwaka 1920, Native Americans waliruhusiwa kwenye mwaka 1924 wakati Wamarekani wenye asili ya Afrika waliruhusiwa kuanza kupiga kura mwaka 1965, izingatiwe kwamba USA ili uweze kupiga kura ilikuwa ni lazima uonyeshe uwezo wakujua kusoma na kuandika lugha ya Kiingereza na reasonig jambo ambalo makundi hayo niliyoyataja hapo juu yalishindwa kuthibitisha kutokana na sababu mbali mbali! Kuna sababu kubwa sana kwa nini ilikuwa hivyo, nayo ni kwamba demokrasia inahitaji binadamu kufikia ngazi fulani ya uelewa kuweza kuimudu!

Angalia leo hii Afrika yetu ni chaos tu, misunderstanding ya demokrasia inazidi kulibomoa na kulirudisha nyuma bara la Afrika, watu wanatetea Wauza unga tena Bungeni na kujaribu kuwaadhibu na wale wanaojitokeza kupambana nao ili kuokoa jamii, wakati huo huo hawatoi njia mbadala na bora zaidi ya iliyotajwa lkn wanaikataa iliyopo ingawaje watu wetu wanaendelea kuathirika na Madawa huu ni mmoja tu wa mifano mingi ambayo inaonyesha kwamba Afrika tumeanza na demokrasia mapema sana, ilipaswa tuwe na One ruler for all!

Nchini AK Wabunge wa Chama cha Economic Freedom Fighters (EFF) wakichapana Bungeni!

eff-vs-zuma.jpg
Katika watu ambao thinking & reasoning capacity yao ni ndogo na wewe umo hivi ujui kuwa naweza kukutuhumu ili kuficha maovu yangu, ujui kuwa naweza kupinga kitu ambacho nakifanya kwa siri ili watu wasinihisi na ata wakiambiwa wasiamini waone kuwa nasingiziwa.
Ni kweli kuna watu hawatakiwi kupiga kura kwa kuwa na low thinking & reasoning capacity kama wewe
 
Kutokana..na ulichoandika...nimeelewa kuwa una blame..upande wa pili na wa tatu...democracy ina sehemu tatu..utawala...upunzani..na wananchi...ukiangalia...matatizo mengi ya kisiasa..barani Africa yanaletwa..na upande wa serekali..pale wanapitakiwa..kuwajibika..kwa jambo flani...hasa kama jambo hilo linapima..nguvu yao ya utawala....democracy...inahusisha..utawala..wa sheria..na kujali..humani rights......
 
Back
Top Bottom