Recent content by BENITOO

  1. B

    Bajeti wizara ya elimu now..mogomo itakoma??

    Jamani bungeni bajeti hiyo yasomwa now,tafadhali tuijadili
  2. B

    Picha bora 2012 tanzania haitatokea ya kuzidi

    safi ila ingekuwa na composition ingeleta maana zaidi,hapo ipo tata
  3. B

    pima joto: Kwa nini Afande kwenye hii picha kajichokea?

    hajachoka bwana........
  4. B

    Wasanii 5 Wa Tanzania Wenye Pesa

    dotnata yupo wapi?hampo siriaz
  5. B

    Nani mpiga kinanda bora kati ya hawa?endy sekedia na victor mkambi?

    Sekedia ni mpiga kinanda wa siku nyingi wa bendi ya akudo impakti,victor mkambi ni mpiga kinanda wa siku nyingi wa twanga pepeta...kwa pamoja ni wapiga vinanda hodari sana nchini,je wewe unadhani ni nani zaidi??
  6. B

    Hii hapa ni List ya Mapedeshee/Papaa wa Tanzania na Kazi zao

    La msingi juu ya hawa jamaa ni kuwa wan mchango mkubwa sana katika kuwainua wasanii wa muziki na maigizo..kwa pesa wanazowapa,kuwalipia kodi za nyumba,bili,magari n.k...kitu ninachowalaumu ni kutumia pesa nyingi kwa mambo yasiyo ya muhimu saana,bora pesa hizo wangetumia kujenga vyoo...
  7. B

    Hii hapa ni List ya Mapedeshee/Papaa wa Tanzania na Kazi zao

    sijui wanavyopata pesa lakini najua wana mafanikio na wanaimbwa kwa sababu hutoa pesa ili biashara zao na shughuli zao zifanikiwe zaidi...na wengi ni vijana mfano PDG Moise Katumbi Tshipoy..president du TP mazembe and well successful business tycoon
  8. B

    Hii hapa ni List ya Mapedeshee/Papaa wa Tanzania na Kazi zao

    fungua macho kaka..PRESIDENT DIRECTEUR GENERALE'
  9. B

    Hii hapa ni List ya Mapedeshee/Papaa wa Tanzania na Kazi zao

    Kule Kongo wapo kina pdg didi kinuani,kiki toure,fred monsoh,shebedee tabu fatu,merry marou(marehemu),christina kwasa...nk
  10. B

    Hii hapa ni List ya Mapedeshee/Papaa wa Tanzania na Kazi zao

    PDG..kwa kifaransa..PRESIDENT DIRECTOR GENERAL..walianzia kongo,kukua kwa muziki wa dansi kukawabatiza watu maarufu hasa vijana wenye mafanikio(wamepataje hatujui) jina hilo...wanaimbwa kwa sababu hutoa sapoti kwa wanaowaimba katika kitu ambacho wazaire hukiita MABANGA(unalitaja jina la mtu ana...
  11. B

    Tuongee asubuhi [Star tv] tarehe 9/9/2011: Wabunge na mchango wao katika maendeleo ya nchi

    Habari zenu wadau?kipindi hiki baada ya kuahirishwa kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wetu sasa kitakuwa hapo kesho tarehe..16/9/2011 asubuhi saa 1.30 LIVE STAR TV..TUNAOMBENI MAONI YENU,KABLA NA WAKATI WA KIPINDI
  12. B

    CCM Igunga wafyekana mapanga kugombea pesa

    acha hizo..we ni mtanzania??
  13. B

    Tuongee asubuhi [Star tv] tarehe 9/9/2011: Wabunge na mchango wao katika maendeleo ya nchi

    Bado wananchi wengi hasa vijijini hawaoni lolote linalofanywa na watu waliowapa dhamana ya kidemokrasia ya kuwaletea maendeleo..na wanadai zipo sababu nyingi zinazosababishwa na hali hii..je,wewe mbunge wako kafanya nini??shiriki katika kipindi hiki kuanzia sasa...HOST Mwanza,B ernard...
Back
Top Bottom