Hii hapa ni List ya Mapedeshee/Papaa wa Tanzania na Kazi zao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii hapa ni List ya Mapedeshee/Papaa wa Tanzania na Kazi zao

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by DSN, Oct 25, 2011.

 1. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Kwa Watanzania walio wengi jina Mapedeshee au Mapapaa ni maalufu lakini natumaini watanzania baadhi hawajui Mapedeshee ni aina gani ya watu na wanafanya kazi gani kama sehemu ya maisha yao,manake sifa zao kubwa zilianza kutajwa kupitia miziki ya dansi lakini sasa wameamia kwenye ubongo wa fleva [Kizazi kipya].Majina maalufu kwenye kutajwa huko ni kama Papaa Msofee,Pedeshee Ndama Mtoto wa Mbuzi nk.

  Nimeeandika thread hiii baada ya kumuona Mama mmoja mjane akilalamika kwenye taarifa ya habari ya ITV kuwa Pedeshee au Papaa Msofe amemdhulumu Mjane huyo kiwanja chake chenye nyumba juu yake ambayo mumewe alijenga ikiwa na thamani ya Shilingi Millioni Ishirini na Nne.

  Mama huyo analalamika kuwa amepeleka malalamiko polisi lakini ajabu Polisi wakishaonana na Pedeshee au Papaa Msofe [Marijani] basi wanasepa kimya kimya na mjane huyo akiwafuatilia wanauchunu.Hivyo kupitia msaaada wa TAMWA [Tanzania Media Womeni Association] anaomba msaada wa Waziri Mkuu kumsaidia kukabiliana na Pedeshee huyo ili apate mali hiyo aliyoachiwa na marehemu mumewe.

  Kwa wanajamii tujuzeni list ya hao Mapedeshee na Kazi zao manake uenda wengine humu jamvini tukajifunza kitu kuhusu hawa mapedeshee na kazi zao.Nlipatwa kudokezwa lakini dokezo ilo sikulipa tafsiri lasmi kwa kuwa kupitia jamvi, nilichoambia uenda kikawa na msaada kwa wanajamii ambao wameshapata kuathirika au wanategemea kuathirika na vitendo vya Mapedeshee hao.


  Nawasilisha
   
 2. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,458
  Likes Received: 1,331
  Trophy Points: 280
  Pedeshee Majuto- Muigizaji wa michezo ya kuchekesha
   
 3. only83

  only83 JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Teh!!! JF is very interesting guys...live long JF lol!!!!
   
 4. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,990
  Likes Received: 2,649
  Trophy Points: 280
  Ukisikia papaa,pedeshee hawa watu ni wabaya sana mara nyingi hujipatia mapesa kwa njia haramu,kama kudhurumu na mambo mengine mengi ya kishetani ili mradi wapate pesa.
   
 5. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Pedeshee Rejao..huyu waukweli sana!
   
 6. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Kuna post hapa Celebrity Forum inayomhusu Papaa Msofe itafute
   
 7. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  hebu rekebisha heading yako kwanza........................by the way hao mapedeshee ni WAPIGAJI tu wa mjini
   
 8. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  pedeshee baba liz
   
 9. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #9
  Oct 25, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mapedeshee si ndo madalali!!
   
 10. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #10
  Oct 25, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Pedesheee Fidel bamutu ba Tip Top banamuita mutu ya kilo nyingi, mutu ya fasi mingi
   
 11. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #11
  Oct 25, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,356
  Trophy Points: 280
  lmao! :)
   
 12. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #12
  Oct 25, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  pedeshee papaa Mk.were a.k.a mkuu wa kaya. Huyu ni papaa wa mapedeshee wt yy anapiga mishemishe zt hp tz
   
 13. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #13
  Oct 25, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,046
  Likes Received: 7,257
  Trophy Points: 280
  Pedeshee is another word of "Tapeli",
  Yaani ili kutumia tafsida, badala ya kuita Tapeli Shark, ndio unaweza kutumia Pedeshee Shark!!!
   
 14. B

  BENITOO Member

  #14
  Oct 25, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  PDG..kwa kifaransa..PRESIDENT DIRECTOR GENERAL..walianzia kongo,kukua kwa muziki wa dansi kukawabatiza watu maarufu hasa vijana wenye mafanikio(wamepataje hatujui) jina hilo...wanaimbwa kwa sababu hutoa sapoti kwa wanaowaimba katika kitu ambacho wazaire hukiita MABANGA(unalitaja jina la mtu ana biashara ama shughuli yake katika tungo zako) na baadaye anakupatia malipo...na wanawake huitwa MASHEBEDEE....NAWASILISHA...
   
 15. B

  BENITOO Member

  #15
  Oct 25, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kule Kongo wapo kina pdg didi kinuani,kiki toure,fred monsoh,shebedee tabu fatu,merry marou(marehemu),christina kwasa...nk
   
 16. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #16
  Oct 25, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Haaaaaa haaaaaa haaaaaa,salut mkuu! ww unafanya kazi gani papaaa?
   
 17. v

  valid statement JF-Expert Member

  #17
  Oct 25, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  matepeli, madhulmati watupu, na hawana hata utu. Hawana cha upapa bali uwizi mtupu.
   
 18. MLATIE

  MLATIE Senior Member

  #18
  Oct 25, 2011
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 174
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  hwafai na hela za dhuluma na biashara chafu tu huku wakiwatenda vibaya dadazetu wanaopenda pesa bila jasho
   
 19. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #19
  Oct 25, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  wewe una wahitaji wakazi gani kina mayaula..
   
 20. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #20
  Oct 25, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 14,998
  Likes Received: 3,179
  Trophy Points: 280
  Hawa jamaa huwa wanafaidi watoto wakali mpaka napata hasira.

  [​IMG][​IMG]VIDEO Queen mwenye taito kubwa Bongo, Rehema Fabian, juzikati alinaswa akifanya mambo ya chumbani hadharani na pedeshee anayefahamika kwa jina la Jacob Best, kitendo kilichozua maswali kibao kutoka kwa wadau walioshuhudia uchafu huo na kutafsiri kuwa ni ufuska, Ijumaa Wikienda linakudondoshea.
  [​IMG]
  Ishu hiyo ilinaswa live na paparazi wetu Oktoba 18, mwaka huu ndani ya New Maisha Club, Masaki jijini Dar es Salaam. Rehema na pedeshee huyo walitinga kiwanjani hapo wakiwa ameshikana mikono, wakajiweka mahali na kuanza kuchapa ‘matingas' kwa kasi.
  [​IMG]
  Kilevi kilipokolea vichwani mwao, walianza kudendeka hadharani, bila kujali umati wa watu uliokuwa ukiwashuhudia.
  [​IMG]
  "Sikutegemea kama bado Rehema ana tabia za kifuska kiasi hicho. Walichokuwa wanakifanya hakipaswi kufanywa eneo kama hili bali chumbani, ama kweli dunia imekwisha," alisema mmoja wa shuhuda wa tukio hilo.
  [​IMG]
  Rehema alipotafutwa na kuwekwa mtu kati ili aeleze sababu za kufanya uchafu ule, alifunguka kuwa pedeshee huyo ndiyo mumewe mtarajiwa hivyohaoni ubaya kufanya chochote mahali popote.
  [​IMG][​IMG]
   
Loading...