Kilichomfanya Nyoso Alimwe Red Card katika mechi na WAARABU | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kilichomfanya Nyoso Alimwe Red Card katika mechi na WAARABU

Discussion in 'Jamii Photos' started by Amavubi, Apr 12, 2012.

 1. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,491
  Likes Received: 4,760
  Trophy Points: 280
  255013_161470643920397_100001723878276_417864_4370949_n.jpg
  ............................................................................................
   
 2. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,491
  Likes Received: 4,760
  Trophy Points: 280
  Someni vizuri kichwa cha somo, msije kuanza kuuliza Nyoso ni Yupi hapo.....
   
 3. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa bwabwa nini mbona katulia hivyo!
   
 4. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #4
  Apr 13, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,491
  Likes Received: 4,760
  Trophy Points: 280
  Nyosso aligeuka akamtwisha ngumi mbaya wake
   
 5. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #5
  Apr 13, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,491
  Likes Received: 4,760
  Trophy Points: 280
 6. Mandown

  Mandown JF-Expert Member

  #6
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 1,577
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  ... hiyo ni photo shop hata hamuoni kama picha ni za kuunga!
   
 7. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #7
  Apr 13, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,491
  Likes Received: 4,760
  Trophy Points: 280
  hata maneno ni ya kuunga
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Apr 13, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Kumb alifanywa hivyo??
   
 9. The Listener

  The Listener JF-Expert Member

  #9
  Apr 13, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 977
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  nyoso ni huyo jamaa aliyemshika mwenzake na kwa bahati mbaya refarii msaidizi akamuona na kumwita mwamuzi na kumjulisha aibu ambayo nyoso alimfanyia mwarabu mwenzao. Hii kweli nakubali ndiyo sababu iliyomtoa nyoso kwa kadi nyekundu
   
 10. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #10
  Apr 13, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  sasa Nyoso alitamani totoz ya kiarabu uwanjani?
  si angesubiri mpira uishe.
  OTIS
   
 11. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #11
  Apr 13, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,659
  Likes Received: 4,755
  Trophy Points: 280
  Wewe una utani na Kibonde?
   
 12. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #12
  Apr 13, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,491
  Likes Received: 4,760
  Trophy Points: 280
  HAKUNA mtu aliyekuwa na furaha baada ya filimbi ya mwisho kupulizwa katika pambano baina ya Simba na ES Setif ya Algeria kama Juma Nyoso.
  Nyoso alionyeshwa kadi nyekundu katika dakika ya 12 tu ya mchezo baina ya timu hizo mbili na kama Simba ingetolewa kwenye michuano hiyo, huenda lawama nyingi zingeelekezwa upande wake.
  Akielezea namna tukio hilo lilivyokuwa, Nyoso alisema mshambuliaji wa Setif, Akram Djanit, alikuwa akimvuta jezi bila sababu kila wakati na wakati yeye naye alipomsukuma ili asimghasi, mchezaji huyo alianguka chini kama ameangukiwa na tofali.
  “Yule jamaa inaonekana alikuwa anatafuta mtu wa kumsababishia kadi tu. Tangu mpira umeanza yeye alikuwa akituchokoza na kututukana muda wote. Mara akuvute jezi, mara akutwange kichwa na ukimgusa tu kwenye eneo la hatari anajiangusha kutafuta penalti. Huo ndiyo ulikuwa mchezo wake,” alisema.
  Mara baada ya mapumziko, Nyoso alikutwa na wachezaji wenzake akiwa analia katika chumba cha kubadilishia nguo na ameieleza tovuti ya Simba kwamba alilia kwa sababu alijua amewaangusha wenzake.
  “Unajua kabla ya mechi tulizungumza kwa kirefu sana na wenzangu kuhusu mbinu za Waarabu wanapokuwa kwao. Tulikuwa tumejiandaa vema kisaikolojia lakini ndiyo hivyo kwenye mchezo kuna wakati unajisahau na ndicho kilichonikuta,” alisema.
  Nyoso ambaye ni nahodha msaidizi wa Simba amewashukuru wachezaji wenzake kwa kuiwezesha Simba kufuzu hata kama ilifungwa kwa vile imesababisha bendera ya Tanzania kuzidi kupeperushwa barani Afrika.
   
 13. Fabolous

  Fabolous JF-Expert Member

  #13
  Apr 14, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 1,302
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Hivi hizi mbinu za Waarabu kufanya hujuma wanapokua kwao zitaisha lini? CAF inajua kinachoendelea lakini wanakaa kimya.
   
 14. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #14
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hivi hapo kwenye red, nyoso anajua kiarabu au hawa jamaa wanajua kiswahili?
   
 15. B

  BENITOO Member

  #15
  Apr 14, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahahahaaa,kweli
   
 16. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #16
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hilo nalo nenooo..
   
 17. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #17
  Apr 14, 2012
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,367
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280
  Kiswahili na Kiarabu si kilekile tu, hivi mwarabu akikuambia hanith*, huwezi kuelewa?
   
Loading...