Bajeti wizara ya elimu now..mogomo itakoma??

hiki kitu kinatolewa leo...machale yashanicheza,,kama ndo budget inasomwa leo..mhhh tungoje!!!
 
real terifying guys without mkwanja full kuhaso coz badala ya kufikiri kitabu kitapandaje hewani u think about what u gonna eat hebu tungoje kwa hamu yani hapo wasifanye mchezo kabisa
 
Waziri wa elimu wa kikwete hajaongea chochote chenye tija kwa kweli. Sijui ndo huko kucopy na kupaste hadi nimesikitika.

Hotuba ya kambi ya ya upinzani ndiyo ilikuwa na msisimko wa hali ya juu kwa kweli. Yule mama ameongea point acha. Lakini km kawaida serikali yetu hii wata ignore na kuendelea na yao.

Kuna mdada anachangia ananibore, yaani ningekuwa karibu ningempiga risasi kwa kweli. Hopeless kabisaaa.
 
nini kimeongelewa..
2pe vifungu tuijadili,si wote tuko mjini
 
Back
Top Bottom