Recent content by Ben4figure

  1. B

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    We endelea kuugulia tu ila PSRS for life, mtaa kama mgunu sana njoo Singida ulime alizeti, majority ya watu humu wamepata mrija taasisi tofauti tofauti kupitia utumishi, hiyo ajenda nayo nakuhakikishia haitofanikiwa...... Kama umegraduate muda mrefu na Bado unakandwa, wewe jiandae vizuri tu...
  2. B

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Solution ni wao kutatua changamoto chache ambazo zinapelekea haya tunayoyajadili humu, lakini kiutendaji na fairness mi nawapa 85%, maana Niko na ushahidi wa watu wengi ambao hawajuani na mtu na kwao ni choka mbaya ila wamepata fursa kupitia huku huku
  3. B

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hiyo ya kusema taasisi na wafanye sahili wenyewe unataka wewe. Mimi kama mmoja wa tuliopata mrija huku sekretarieti tunataka system ibaki kama ilivyo, maana watt wa maskini pia tunaona kabisa tunapata nafasi ofisi zenye asali ya kutosha. Kama Bado unapambania kombe, kula sana msuli uwe unapita...
  4. B

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Miaka ya nyuma kama mwaka Gani?.....Kuna mtu nAmfahamu aliomba account assistant halmashauri akakosa akaja kupata TRA kama account assistant 2021, Sasa sijui kama salary scales za halmashauri na TRA zinafanana
  5. B

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Siku zote lower your expectations, kuhusu database mi nona mtu usiipe matumaini ujipange na post zingine zitakazotoka. Mfano mdgo ni nafasi za accounts assistant idara ya maji korogwe zilizotoka juzi, sidhani kama hakukuwa na watu wa kuwachukua database, maana November na December zimefanyika...
  6. B

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ondoa sana hofu ndugu, Mimi Kwa mara ya kwanza nimeingia oral interview mwaka huu hizi za TRA, na kwenye Hilo swali la tell us about yourself kimenitokea kama kilichokukuta, kabla sijamaliza swali nkaambiwa inatosha, lakini Mungu ni mwema pdf la placement nimo kama customs officer, Cha msingi...
  7. B

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mwaka jana walikuwa wengi sana kureport HQ pale, ingekuwa ni usumbufu tofauti na walioitwa awamu hii,
  8. B

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    BArua zinasemaje?, inabidi ureport lini kituo chako Cha kazi
  9. B

    Mashindano ya Cheka Tu Comedy search yameendeshwa kwa weledi sana.

    Angalia hapa vituko vya Leonardo mshindi wa Cheka TU comedy search😹😹, Subscribe pia tumpe support kijana
  10. B

    Cheka tu Comedy Search: Ni mshiriki gani unavutiwa naye?

    Hahaha jamaa anatisha sana, angalia hiyo video nayo YouTube Leonardo anajifanya mwizi😹😹, Cheka TU sahv imepata vijana wa hovyo sana
  11. B

    Cheka tu Comedy Search: Ni mshiriki gani unavutiwa naye?

    Link hiyo kazi za Leonardo mshindi wa Cheka tu, subscribe YouTube
  12. B

    University Admission Results 2020

    Hivi mtu aliesoma diploma ya accounting and Transport finance akaomba udsm bcom accounting labda af wasimselect na reason pale wakaandika Area of study not relevant, apo inakuaje wakuu
  13. B

    University Admission Results 2020

    Sua mbona wengne bado
Back
Top Bottom