Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 13,815
- 39,454
Ndio maana yake, ushindani kwa wanaoingia kwa diploma ni mkubwa sana, unaweza kukuta chuo kinatoa nafasi 10 kwa ajili ya watu wenye diploma na 90 kwa waliomaliza form 6.Matokeo yake mazuri na GPA pia, hyo ya kusema vyuo wanachagua Sana form six nakubaliana na wewe Ila hawatendi haki kwa equivalent, maana vyuo vyote form six ndio wamepata vyuo Sana na diploma ni Sijaona sana
Hata mchakato wa kuwachagua wenye diploma kwenye mifumo yao hufanyika tofauti, sio haki ila wao hawapendelei sana kuchukua watu waliopitia mfumo wa NACTE.