HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Badala ujiandae vizuri na interview, unakomaa kuwapiga majungu PSRS.

Hilo connection uliyonayo huko kwenye hiyo taasisi komaa nayo wakupe ajira hata ya mkataba. Utumishi wanafanya kazi nzuri.
Kijana amesoma miaka 3,4,5 aka graduate vizuri kabisa.
Alafu unakuja kumsumbua kwenye interview za kikuda.

Raisi Samia anairudusha nchi Mahali pake, watu wamekwandwa sana.

Rais kajaga twende
 
Kijana amesoma miaka 3,4,5 aka graduate vizuri kabisa.
Alafu unakuja kumsumbua kwenye interview za kikuda.

Raisi Samia anairudusha nchi Mahali pake, watu wamekwandwa sana.

Rais kajaga twende

Raisi Samia anaifungua nchi Kila mtu , apate buyu la asali ,
Sema utumishi ni WA binafsi sana
Acha masihara mzee, utumishi wamesaidia sana kuondoa ukiritimba, mimi nna washkaji zangu wamepata kazi kupitia utmishi, tena taasisi za mipunga mirefu TPA, TPDC na TRA. By the way utumishi wao wana oversee tu mchakato mzima wa ajira kuondoa rushwa, kwenye ile panel ya interview watu wa utumishi wanakua wawili tu, wengine ni experts wanaotoka kwenye taasisi husika.
 
Hivi hii kitu kumbe inawezekana.

Nimeona tangazo la walioitwa kwenye usaili UDOM nafsi ya TA.
Majina yanajirudia kwa position.
Mtu unakuta ameitwa kwenye nafasi ya TA wa Epidemiology, kaitwa tena upande wa Biostatistics. Anatomy napo mtu huyohuyo kaitwa na Physiology jina lake limo.
Itabaki ni jukumu lako kwenda kufanya usahili unaoutaka.

Kama muda ni tofauti unaweza ukafanya zote
 
Kule anayepata kazi hafanyi mtihani kakaa nyumbani...ila wengine mnaotafuta kazi mnafanya mtihani..mwisho wa siku aliyekaa nyumban kapata kazi...ipi bora!
Namna hiyo ndivyo tunavyopinga PSRS kunyang'anywa mandate yao na kuachiwa taasisi zijifanyie recruitment zenyewe.

Tunaelezaa humu ila hatuwezi kuelewana hadi taasisi zitakapoachiwa jukumu la kuendesha saili zao. Tutakumbukana.
 
Kijana amesoma miaka 3,4,5 aka graduate vizuri kabisa.
Alafu unakuja kumsumbua kwenye interview za kikuda.

Raisi Samia anairudusha nchi Mahali pake, watu wamekwandwa sana.

Rais kajaga twend

Kijana amesoma miaka 3,4,5 aka graduate vizuri kabisa.
Alafu unakuja kumsumbua kwenye interview za kikuda.

Raisi Samia anairudusha nchi Mahali pake, watu wamekwandwa sana.

Rais kajaga twende
We endelea kuugulia tu ila PSRS for life, mtaa kama mgunu sana njoo Singida ulime alizeti, majority ya watu humu wamepata mrija taasisi tofauti tofauti kupitia utumishi, hiyo ajenda nayo nakuhakikishia haitofanikiwa......
Kama umegraduate muda mrefu na Bado unakandwa, wewe jiandae vizuri tu, soma sana ukiitwa written na usisahau kumuomba MUNGU wako, muda wako utafika tu,
Taasisi kuajili zenyewe naona Ina faida kiupande wako ndo maana unasupport sana Hilo wazo kijana
 
Kijana amesoma miaka 3,4,5 aka graduate vizuri kabisa.
Alafu unakuja kumsumbua kwenye interview za kikuda.

Raisi Samia anairudusha nchi Mahali pake, watu wamekwandwa sana.

Rais kajaga twende
Siku ukipata Asali kupitia PSRS, haya maneno hutayasema tena.

Nakuomba usikate tamaa hata kama unawaona PSRS ni wabaya, Mungu ni mwema, nakuombea
 
kukopesheka huwa ni barua ya ajira tu haijalishi upo sekta binafsi au serikalini tena CRDB ni chapu tu hata kama ni mwajiriwa kwa mkataba wa mwaka mmoja wanakupa mkopo fasta
Kukopesheka kwa sekta binafsi kunaangalia kama hiyo taasisi imeingia mkataba wa kukopesheka kwa wafanyakazi wake na hiyo benki,benki zenyewe zinaita scheme. Mfano kuna kampuni inaitwa Mantrack staff wake wanakula hela ndefu tu ila haijaingia mkataba naabenki mengi ili staff wake wakopeshwe
 
suala la kukopeshwa ni uamuzi wa bank na sio taasisi iamue

bank wana vigezo vyao na ndio mana wanakuomba barua yako ya ajira

ishu ya mwajiri wako kukubali ukopeshwe au husikopeshwe ni ww na kampuni yako sasa wao bank hawahusiki
 
Back
Top Bottom