robbinhood
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 538
- 1,532
Basi mwenyezi Mungu akusaidie ufanikishe jambo lakoNdio kiongozi

Basi mwenyezi Mungu akusaidie ufanikishe jambo lakoNdio kiongozi

Inshaallah kiongozi, tupo pamojahBasi mwenyezi Mungu akusaidie ufanikishe jambo lako![]()
hata mimi hio ninayo...ila nashindwa elewaaaMbona hii hapa inasema tarehe 12 ndio majina yanatangazwa na hapo hapo ndio dirisha la pili linaanza
Check hiyohata mimi hio ninayo...ila nashindwa elewaaa
anyway lets wait tomorrow tuone
screenshotwale wa SUA mzigo tayar .fungua acc yako
screenshot
TIA bado wanasema system inamatatizo ndio maana wengi ambao wanarudishiwa majibu kua wamekataliwa wanasema baada ya siku mbili ndio watatoa selections
Isw tayari wakuuView attachment 1593907
Isw tayari wakuuView attachment 1593907


Wamekosea wao wenyewe21 August 2019..!???!?
Sasa mbona nnachokitaka kwenye website yao hamna sehemu ya ku confirm 😅kuna admission letter na joining instructionsIna maana hii Chuo ambacho uta confirm ndio hicho utaenda ..
Kama umechaguliwa multiple ..ambacho ume comfirm ndio utaenda huko na ambavyo huja comfirm ina maana hutaenda ..
Hata kwenye mambo ya loan ..mkopo unapelekwa kwenye chuo ulicho comfirm