Recent content by bellatomas

  1. bellatomas

    JamiiForums Tanzania Picha za kutisha wakati wa ujauzito

    Habari zenu wapendwa nina swali naomba kuuliza je kuna uhusiano wowote wa kipindi cha ujauzito na picha za kutisha, mfano utasikia watu wakisema ukiw na mimba utakiwi kutazama mazombi mtoto akizaliwa anaweza fanana nao je! Hili swala ni la kweli?
  2. bellatomas

    JamiiForums Tanzania Ni swali/maswali gani unayoyachukia unapotongoza/tongozwa kwa mara ya kwanza

    Umetembea na wanaume wangapi
  3. bellatomas

    JamiiForums Tanzania Je, WCB wanahusika kumhujumu Ali Kiba you tube, views kuganda?

    Kuimba hajui Hafu mondi ajampa kiki Na sikukuu yake ikaishia njiani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aende zake
  4. bellatomas

    JamiiForums Tanzania Matarajio ya wasafi tv yamekuwa negative kwa wahusika

    Uchawi ndio huo na wivu wa maendeleo
  5. bellatomas

    JamiiForums Tanzania Isipokuchekesha hii njoo PM nikurudishie MB zako

    Rudisha mb zang
  6. bellatomas

    JamiiForums Tanzania Wazazi ni chanzo cha ndoto nyingi za vijana kutokutimia

    Ni kweli kabisa
  7. bellatomas

    JamiiForums Tanzania Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

    Huyo dada atakuwa ana mapenzi tu na huyo mwanaume aliezaa nae na huyo anaetaka kumuoa ampendi ila sio kweli kwamba single mom hawawez kuachana na waliozaa nao ni uongo
  8. bellatomas

    JamiiForums Tanzania Nikwanini members wa jamii forums wanatumia majina yasiyo halisi??

    Tuanze na wew unatumia jina halis au fake?
  9. bellatomas

    JamiiForums Tanzania Natafuta msichana wa kazi za ndani

    Upo wapi na unalipa kiasi gani nina ndug yangu
  10. bellatomas

    JamiiForums Tanzania Natafuta mdada wa kazi za ndani

    Kwa tusiojua kingeleza kaz tumekosa
  11. bellatomas

    JamiiForums Tanzania Natafuta msichana wa kazi za ndani

    Umeshampata
  12. bellatomas

    JamiiForums Tanzania Mgeni jf

    Asante
  13. bellatomas

    JamiiForums Tanzania Mgeni jf

    [emoji3]
  14. bellatomas

    JamiiForums Tanzania Mgeni jf

    Naogopa
  15. bellatomas

    JamiiForums Tanzania Mgeni jf

    Sawa
Back
Top Bottom