Picha za kutisha wakati wa ujauzito

Picha za kutisha wakati wa ujauzito

bellatomas

Member
Joined
Oct 23, 2017
Posts
26
Reaction score
6
Habari zenu wapendwa nina swali naomba kuuliza je kuna uhusiano wowote wa kipindi cha ujauzito na picha za kutisha, mfano utasikia watu wakisema ukiw na mimba utakiwi kutazama mazombi mtoto akizaliwa anaweza fanana nao je! Hili swala ni la kweli?
 
Kwa haraka tu,hakuna uhusiano, na hakuna effect kwa kizaliwa. Wengi huwa wanafata gene za familia zao.
 
halina ukweli ila kutazama picha hizo zinahinua sana mihemuko kiasi kuna homoni zinaachiwa mwilini na ambapo humuathiri mtoto tumboni hasa utendaji wa akili
 
Kungalia picha za ngono wakati wa ujauzito ndio shida, mtoto akizaliwa lazma aje kuwa bongo movie star
 
Back
Top Bottom