Recent content by beijing_07

  1. beijing_07

    JamiiForums Tanzania Michezo ya Olympic inaonyeshwa ??

    zbc 2
  2. beijing_07

    JamiiForums Tanzania Olympic nimeona hadi black Japanese

    nimemuona leo nilijua ni fatma karume zile nywele
  3. beijing_07

    JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusu mji wa Songea

    ni uongo tupu mwandishi acha zarau
  4. beijing_07

    JamiiForums Tanzania Tunapozidiwa hadi na nchi zenye watu laki 3 kwenye Olympics

    ngoja nimalizie hii game ya brazil na mexico dakika ya 84, 0-0
  5. beijing_07

    JamiiForums Tanzania Wasifu wa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi

    mkuu unaonekana una jambo unalijua vzur tuu
  6. beijing_07

    JamiiForums Tanzania Wasifu wa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi

    huyu ni jirani kabisa hapa kibaha ya ndege nyumba yake na ya kwetu zinatizamana kwa ukaribu mkubwa sana nasikitikia tu yule mke wake ambae mh:-akiwa bungeni vijana kama sisi tulikuwa tunaruka nae sana tu.
  7. beijing_07

    JamiiForums Tanzania Tunapozidiwa hadi na nchi zenye watu laki 3 kwenye Olympics

    bora umeniwahi maana nilikuwa nakuja na page nne zilizo shiba
  8. beijing_07

    JamiiForums Tanzania Mafuta Mazuri ya kupakaa ya Nywele

    tafuta mafuta ya nywele yanaitwa OPTIMAL HAIR FOOD utakuja kunishukuru baadae.
  9. beijing_07

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Hanspope, RPC aliyeuawa kikatili na Jeshi la Idi Amini

    hii vita bado inaendelea na hapo simba yupo kama ushahidi tuu
  10. beijing_07

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tapeli Mkenya Abdul Juma ndie alipelekea Hushpuppi kukamatwa

    mwisho wa historia ya hushpup
  11. beijing_07

    JamiiForums Tanzania Upepo mkali unaovuma usiku huu 31.07.2021 kulikoni?

    wewe ni mwanga nini usku wa saa 9 ujalala.
  12. beijing_07

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Rais Mwinyi afanya uteuzi wa Makatibu Wakuu katika Taasisi mbalimbali

    sehem mbali mbali mkuu...
  13. beijing_07

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliniacha kwa fedheha, lakini leo anahitaji msaada wangu

    fata hii njia toa msaada kama mtu ambae hamjuani ili usikumbuke maumivu yyte then usifate yale atakayo yeye wanawake wana self defense yao ya kugawa penzi ili kukusaulisha yale magumu aliyokueleza tambua bado anamegwa na huyo jamaa ake wa chuo ila ww kama kijana smart msaaidie then pita...
  14. beijing_07

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Rais Mwinyi afanya uteuzi wa Makatibu Wakuu katika Taasisi mbalimbali

    ndio nini mkuu fafanua
  15. beijing_07

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nichukue gari ipi kati ya hizi?

    ukishakua tyr nicheki nipo hapa be forward kwa muda wa miaka 4 naacha maoni ya watu uyafanyie kazi ukishapata gari karbu dm mkuu.
Back
Top Bottom