Upepo mkali unaovuma usiku huu 31.07.2021 kulikoni?

Tulio nchi kavu tukiona hali kama hii hatujifikirii zaidi sisi bali tunawaza kwa ndugu na jamaa wanaofanya shughuli majini(baharini) & pamoja waishio karibu na fukwe itakuwaje.

Si mpaka madhara makubwa yatokee ndio uanze kuona ni jambo kubwa.
Ila huu upepo mkubwa hata siku kadhaa za mchana ulikuwepo ila kwa sasa umepungua
 
NASA walisema kuna sayari inakaribia dunia yaweza ipiga dunia mda waowote kwamba ndio maana mabadiliko mengi yanatokea
 
Huku Tanga mjini midaa hii kuna upepo sio wa kawaida..kama cyclone!🤔
 
Heri madeni waweza kubadilisha njia au kuzima simu. Usiombee kulala wakati hujui kesho unaachaje familia na unafikaje kazini. Unajikuta unaichukia hadi net inayozuia mbu. usiku mzima unahesabu vitu unavyoweza kuuza upate unga.
Huwa nazikumbuka Sana hizi moments....zina nifanya ni work hard
 
Back
Top Bottom