Recent content by Beibe

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri wako utanisaidia kujijua.

    sasa ambacho hujaelewa hapo nini au hadi akuandike notes
  2. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila ninaempata ananizidi kielimu.

    Hahahhahahhahaaaa umenipa raha sana
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila ninaempata ananizidi kielimu.

    ndo mana huko kote alikopita wanamzngua kama ingekua sio hivo asingelalamika hapa angeshampata, na kwa uwezo wake kiuchumi ndo mana anakutana nao walomzidi elimu..and mara nyingi mwanamke akimzidi mwanaume elimu huwa neno kidogo
  4. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania mpenz wangu huwa analazmsha kunyonya jogoo langu, je ni ip athari yake..!

    mwanzo mgum jamani....hahahahahaaaa
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila ninaempata ananizidi kielimu.

    kama hutaki kurudi shule mtafute standard 7 au form 2 aloshindwa kuendelea mana na hivo vihela vyako utaishia kuitwa buzi
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mademu wengi wanateseka juu yangu...

    daaaaaah, wanaume wote mngekua hivo mbona dunia ingekua raha raha, hebu nielekeze nikufuate switihati losheni
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila ninaempata ananizidi kielimu.

    mmmmh kazi kweli kweli ila kiukweli kwa dunia ya sasa upo chini sana hebu rudi shule, mana siku hizi videgree vimekua vingi sana na kwa mfano hata mi mwenyewe kwa sasa form 4 siwezi kabisaaaaaaa!!!!
  8. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kukokotoa kiasi cha fedha ya Mkopo kuwa %

    wewe ze dudu unazingua wenzio, afu hesabu hujui na nan kasema kila kozi wanaenda field mwaka wa kwanza? huo ukokotoz wako umeutoa wapi?na kama unashindwa kukokotoa hesabu ndogo hivo utaweza kutumia hiyo asilimia 100 unayojipangia. Kwani we bodi ya mkopo?kuna hela ambayo first year mnatangulia...
  9. B

    JamiiForums Tanzania JWTZ proffessionals vipi?

    Mwaka huu wameshachukua na kwa ambao sio proffesional nafasi zilikua kibao na had walifanyiwa usaili na proffesionals waliitwa direct ilikua tarehe 13july wakatakiwa tarehe 15july wawe washawasili kwenye kambi zao za jkt. Jaribu kufuatilia mwakani tena uone
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tunda sikupata ila na yeye nilimkomesha

    hiyo stori yako ni furahisha genge kweli na imenifurahisha,.....kama kwel wanaume wanaeza fanya hivo hakutakua na habari za buzi mee tena
  11. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wanachuo na waliopitia chuo na wengine karibuni

    aisee inahusu hiyo, kumbe nayo imo
  12. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali la uzushi, nani anatakiwa kusema asante?

    umeona eeh, utam ukikolea automatically utasema asante, and if nat mmmmh utatra
  13. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni shemeji yangu kabisa..

    msaidie dadako ila kuwa makini usijesababisha ndoa yake ikapata ufa
  14. B

    JamiiForums Tanzania Hiki ndio alichosema Diamond baada ya Wema Sepetu kuzungumza kwenye XXL

    Nashukuru NN hata wewe umeliona hilo, yan akiwa kwenye zile filamu zetu sasa si ndo utasema mtu ndo huyu,....yan sasa hivi kila anachokifanya yan ni ful kuigiza anajisahau kuwa sa ingine anakua kwenye real life
  15. B

    JamiiForums Tanzania Hiki ndio alichosema Diamond baada ya Wema Sepetu kuzungumza kwenye XXL

    Huyu mwanadada nadhan hayuko good upstairs kama diamonds anachosema ni ukweli.
Back
Top Bottom