Ushauri wako utanisaidia kujijua. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri wako utanisaidia kujijua.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Jaslaws, Sep 27, 2012.

 1. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #1
  Sep 27, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 5,138
  Likes Received: 2,188
  Trophy Points: 280
  Tarehe 1 mwezi wa kumi natimiza miaka 25,tatizo langu hapa ni,kwa umri huo nmfanya mapenzi mara mbili tu,na hyo ilinitokea nlpo kua form 6 kama miaka 5 hvi imepita,dada moja wa kiarabu ndo aloniweka kwenye dunia ya mapenzi,kwa bahati mbya kama mnavojua waarabu wanawaozesha mabinti zao bila ridhaa,(wanawachagulia wachumba)sasa since hapo cjawai kua na mpenzi,em sure iam a bull a really bull,but uwa nakata tamaa pale nnapomtongoza msichana,utakuta anakudeley bila mpango then utakuta badae anajisogeza naonaga wanazngu2 so naachannaga nao, nlikua napiga punyeto zaman but nshaacha,bt uwanajiulizi do i have problems ama inakuaje.?
   
 2. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #2
  Sep 27, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,325
  Likes Received: 2,320
  Trophy Points: 280
  Una haraka gani?
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Sep 27, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  kutongoza lazima uvumilie karaha zake, ukitaka wa chapchap hutopata mwisho 40 itaingia hujananiliu
   
 4. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #4
  Sep 27, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Usikate tamaa!

  Jaribu ku edit habari yako isomeke vizuri!
   
 5. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #5
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Hizi lugha huwa sizielewi kabisa ujue sijaelewa umeandika nini

  ruttashobolwa hajaelewa kama mimi
   
 6. Asulo

  Asulo JF-Expert Member

  #6
  Sep 27, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 733
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hawa ndiyo taifa la leo...sijui la kesho lo!
  Vuta subira kijana umri bado sana huo.
   
 7. B

  Beibe Member

  #7
  Sep 28, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sasa ambacho hujaelewa hapo nini au hadi akuandike notes
   
 8. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #8
  Sep 29, 2012
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160

  Nilikuwa sina habari kuwa Beibe = Jaslaws good of you
   
 9. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #9
  Sep 29, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Kama unataka demu wakumgonga tu bila usumbufu, yaani ni hela tu, njoo Arusha nikuelekeze maeneo ya Picnic! Kama upo Dar, nenda Joli. Ila kama unataka demu wa kuoa, subiri kidogo. Life begins at thirty! Afterrall mke mwema anatoka kwa "bwana!" kwa hivyo ni vizuri ukawa na subira ili upate aliyeachika maana ndiye hasa "aliyetoka" kwa "bwana!"
   
 10. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #10
  Sep 29, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 44,100
  Likes Received: 11,251
  Trophy Points: 280
  subira yavuta heri
   
 11. GodfreyTajiri

  GodfreyTajiri JF-Expert Member

  #11
  Sep 29, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 846
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 60
  huyo dada wa kiarabu alikuonjesha banda la uani nini? manake hao warembo
  kuolewa ukiwa bi**ra ni muhimu. sasa kama hii ni kweli basi unakazi kwani umeanza
  shughuli kwa kwenda kusiko. inabidi sasa uonje tundi original na ukijua utamu wake
  huo usumbufu wa kutongoza hautakukatisha tamaa manaake unajua unachokitafuta
  ni kitamu kuliko...!
   
Loading...