Mademu wengi wanateseka juu yangu...

mimi hahitaji mwanaume wa kucomplement nilichonacho nataka mwanaume wa 'kiume' na awe wa kudumu, sio pass time, kama kujilisha na kujitunza naweza mwenyewe, japo zawadi sikatai

mnhhhh sounds like
i know you...do i?
 
daaaaaah, wanaume wote mngekua hivo mbona dunia ingekua raha raha, hebu nielekeze nikufuate switihati losheni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom