Kila ninaempata ananizidi kielimu.

Kila ninaempata ananizidi kielimu.

Nakuhakikishia tatizo hapo sio elimu... lazima kuna kitu na ukweli unaujua mwenyewe.. inawezekana kabisa umekosa kujiamini... nakushauri jichunguze...
 
mmmmh kazi kweli kweli ila kiukweli kwa dunia ya sasa upo chini sana hebu rudi shule, mana siku hizi videgree vimekua vingi sana na kwa mfano hata mi mwenyewe kwa sasa form 4 siwezi kabisaaaaaaa!!!!
 
Inaonekana wewe una matatizo.Mbona kuna wasichana wengi wanatafuta wanaume wa kuwaoa?Inaonekana unataka mwanamke wa show,kama ni hivyo lazima uwe na elimu,ma nake hata yule wa la saba anapenda kupata msomi.Tafuta mwanamke wa kuishi nae na kuanza famulia,hawa hawahitaji kujua zaidi elimu yako.Kama huridhiki basi rudi darasani kama muda unaona unakuruhusu.

Mbona sasa tunashindwana linafikia suala la elimu!
 
Nakuhakikishia tatizo hapo sio elimu... lazima kuna kitu na ukweli unaujua mwenyewe.. inawezekana kabisa umekosa kujiamini... nakushauri jichunguze...

Sina tatizo lolote, kama ni usmart niko sawa kabisa, kama umbile la mwili niko sawa, kama ni mapenzi nayajua vizuri na najiamini sana tu. Hata elimu yangu ya 4m4 siyo ile kingereza cha the,the, the....
 
mmmmh kazi kweli kweli ila kiukweli kwa dunia ya sasa upo chini sana hebu rudi shule, mana siku hizi videgree vimekua vingi sana na kwa mfano hata mi mwenyewe kwa sasa form 4 siwezi kabisaaaaaaa!!!!

Hapo umenena ila shule ndo hivo nimeshaiaga, wapo wenye degree zao lakin hawanifikii hata kidogo kwa kipato ninachopata.
 
Pole bro, ushaur wangu ni kwamba unapotafuta mke bora kigezo cha kwanza na cha muhimu, ni tabia na dini, vitu kama elimu, kabila, na physical appearance are minors factors, unaweza kumpata mwenye elimu ya 4m4 na bado ndoa ikawa matatzo tupu, cha muhimu dont care about education level, angalia tabia na dini, cha KUJIULIZA NI HIKI UNAMUOA KWA SABABU YA ELIMU YAKE, AU TABIA?

Thankx Cha-phile 4 your good advice.
 
kama hutaki kurudi shule mtafute standard 7 au form 2 aloshindwa kuendelea mana na hivo vihela vyako utaishia kuitwa buzi
 
Waswahili wanasema kiingereza bila pesa sawa na kupiga kelele tu,,

Sasa kama una ma phd sijui degree lakin choka mbaya nani atakuheshimu, siku hizi degree kawaida tu muhimu michongo, networking plus family background ndo zinaleta bright future sio elimu,,, mijitu na shule zao za kutisha inaishia kupata stress tu, watoto wa mjini na gentleman zao wanarun wanazoa vitengo daily...

Nazan kaka aproaching yako ina walakin,, hao mbona kuwa tune wakulilie easy sana,,, yaan una kipato, na umri unaruhusu mambo yamenyooka unashindwa kukamata vigraduate vya degree za madesa?
 
Kwa tahadhari nakushauri nenda shule haraka, siku hizi vyuo vya kumwaga vipi ili mradi una credit!!! Mwanamke msomi ni mzuri ila tu wengi wao wana superiority complex kama uko tayari kupambana nao move on. Kwani huwezi kupata form 4 mwenzio aliyesoma vyuo tu? Pole
 
kwani wee mtoa mada kufikisha miaka 30 ndio nini? Ndio lazima uoe hata kisiki?

Tafuta mwanamke anayekufaa haya mengine ni maelezo ya ziada tu.

Kama elimu mali ungewaambia wakaolewe na Nkurumal Hall au mdigirii
 
elimu ya chini inaanzia wapi?

Kama wewe huwezi, je wanawake wote hawawezi?

Je, ndoa za wasomi zote zina furaha?

mmmmh kazi kweli kweli ila kiukweli kwa dunia ya sasa upo chini sana hebu rudi shule, mana siku hizi videgree vimekua vingi sana na kwa mfano hata mi mwenyewe kwa sasa form 4 siwezi kabisaaaaaaa!!!!
 
Possible walichokuzidi wewe ni elimu ya kwenye karatasi tu lakini si elimu ya maisha,Usikate tamaa naamini hao waliokuzidi elimu ndo wanaokufaa wewe kwa kuwa ndiyo wamekuwa na vigezo utakavyo naamini Mwenyezi Mungu ana mpango na wewe,yupo wa aina yako she is waiting for you to meet her,so vuta subra utampata na hata tizama elimu yako bali namna mtakavojenga maisha yenu ya sasa na baadae.Be Blessed Bro!
 
inaonekana 'uko so full of yourself'
sidhani kama tatizo ni elimu sana.

Hapo umenena ila shule ndo hivo nimeshaiaga, wapo wenye degree zao lakin hawanifikii hata kidogo kwa kipato ninachopata.
 
tehee....tehee....teheee! imenikumbusha mbali sana kipindi cha nyuma nilikuwa dancing fulooo na bi mdada fulani hivi katika mahojiano (ya kitoto wakati huo) nikajitanua nafanya kazi sehemu fulani na nikweli nilikuwa nafanya kazi lakini alivyoniambia yuko chuo mwaka wa pili confo likashuka nikajivutavuta na kumwambia akazane shule ni ya maana sana huku japo kwa kweli niliomba mziki uishe haraka na mwaka uliofuata nilienda shule
hivyo dogo nenda shule acha uzembe vyuo kibao kwa sasa kama unajisikia vibaya
 
kwani wee mtoa mada kufikisha miaka 30 ndio nini? Ndio lazima uoe hata kisiki?

Tafuta mwanamke anayekufaa haya mengine ni maelezo ya ziada tu.

Kama elimu mali ungewaambia wakaolewe na Nkurumal Hall au mdigirii

Thanks Kongosho 4 your good ideal!
 
Back
Top Bottom