Ni mara yangu ya kwanza kuchangia humu,ila kumeelezwa vizuri sana kuhusu makundi ya damu,mfano wangu mimi binafsi,mimi ni A- na mke wangu ni A+,ni mejaaliwa kupata watoto wawili,pia huwa nachangia damu kwa wenye uhitaji wa damu hasa A-.
Sent from mTalk
wakuu msaada nna iphone 4 tatizo haikai na chaji kabisa na inapata moto sana ukiwa unatumia net,mwenye kufahamu ufumbuzi wa tatizo hili naomba anielimishe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.