Hiyo inawezekana kweli??ungekuwa na 0-RH ukampata demu mwenye hilo hilo group hamuezi kuzaa hata mfanyaje.labda kwa maombi
Mme akiwa O+ na ke O+ inakuwaje hapo mkuuNi kurekebishe kidogo hapo mkuu, Kama huyu bwana angekua Rh+ve na mkewe akawa Rh-ve ingekua nivi.
Mtoto wa kwanza angezaliwa salama ila mimba ambazo zingefuatia zisingeweza kukua, zingeharibika (Misscariage)
hii ni kwakua Huyu mama(Rh -ve) anakua ameshatengeneza kinga za mwili(Antibodies(Ab)) dhidi ya Rh+ve Baada ya ujauzito wa kwanza.
kwakua mtoto anayepatikana kutoka makundi haya ya damu huwa Rh+ve, basi mwili wa mama humtambua kama "Hatari"(Foreign body) kwahiyo basi Rh-ve Ab huvuka uzuio unamtenganisha mama kwa mtoto na kwenda kumshambulia Chembe hai nyekundu za damu za mtoto, hili shambulizi husababisha Upungufu wa damu kwa mtoto (Haemolytic anaemia) ambcho hupelekea kifo chake.
Matatizo kama haya uherekebishika hatua za haraka zitafanyika.
HOSPITALINI.
Mama hupewa Rh immunoglobulin (RhIg) hi kinga dhidi ya Rh-ve Ab anazozizalisha, kinga hii hutolewa katika Hali zifuatazo
masaa 72 baada ya kujifungua
juma la 28 la Ujauzito
baada ya mimba kuharibika, kutoka ama kutungia nje ya mfuko.
Ukiwa na group 0+ ukimwi sio rahisi kukupata
Hakuna tatizo hapo mkuu, labda kuwepo na shida kwengine lakini sio kwenye makundi ya damuMme akiwa O+ na ke O+ inakuwaje hapo mkuu
MIMI NINA 0+ NA MKE WANGU ANA A+ VE. INAKUWAJE HAPA, LAKINI MPAKA SASA HV TUMEJAALIWA KUPATA WATOTO WA 3 WOTE WA KIKE? JE NI SABABU YA KUPATA WATOTO WA KIKE PEKE YAKE?? msaada.
Unaweza kumpa MTU yeyote damu
Ukiwa na group 0+ ukimwi sio rahisi kukupata
Nimepima leo group la damu yangu, nina group 0+ Rh,
Nini faida ya hili group na hasara zake, na je naweza kumpa damu mtu wa group gani?
Nitashukuru nikisaidiwa mawazo, asante.
unajitoboa, then unaiweka kwenye pimamajiUkitaka kupima blood group unafanyaje?
Hii nimeipenda.Hujaelewa somo, mke akiwa - ve na mme naye -ve ndio tatizo. Sasa wewe - ve na mmeo + ve huoni kama Kuna tofauti kwenye Rh factor?? Group O hasa +ve ndio kindi la damu lililo ngangari kwa kujikinga na magonjwa na hata vvu hufanya kazi ya ziada kushambulia kundi hili. Mtu mwenye group hili akipata vvu havimsumbui na akikuambukiza mwenye group jingine kama A, B au AB lazima muondoke ila yeye atakuwepo. Mara nyingi hawa huwa hujulikana kama carrier
Acha UWONGO KIJANA.Ukiwa na group 0+ ukimwi sio rahisi kukupata
Unasema Mara ya kwanza kuchangia, wakati una posts and replies 97[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Ni mara yangu ya kwanza kuchangia humu,ila kumeelezwa vizuri sana kuhusu makundi ya damu,mfano wangu mimi binafsi,mimi ni A- na mke wangu ni A+,ni mejaaliwa kupata watoto wawili,pia huwa nachangia damu kwa wenye uhitaji wa damu hasa A-.
Sent from mTalk
Duh, nice to knowHujaelewa somo, mke akiwa - ve na mme naye -ve ndio tatizo. Sasa wewe - ve na mmeo + ve huoni kama Kuna tofauti kwenye Rh factor?? Group O hasa +ve ndio kindi la damu lililo ngangari kwa kujikinga na magonjwa na hata vvu hufanya kazi ya ziada kushambulia kundi hili. Mtu mwenye group hili akipata vvu havimsumbui na akikuambukiza mwenye group jingine kama A, B au AB lazima muondoke ila yeye atakuwepo. Mara nyingi hawa huwa hujulikana kama carrier
Ila usidanganyike ukapata kiburi.jali afya yakoUkiwa na group 0+ ukimwi sio rahisi kukupata