Kauli ya Mzee Mwandosya hii hapa

Kauli ya Mzee Mwandosya hii hapa

Hizo ndizo strategy zilizopangwa kuweka watangaza nia wengiiiiiii ili wammalize nguvu Lowassa. Bado tusubiri wengine waje kukubali matokeo
 
Nimependa vyote but istilah ni nini?au nini maana yake
 
Mwandosya
the best president will never have,,
 
Maneno kuntu kabisa. Ni miongoni mwa Watanzania wachache walio makini. Ameonyesha ukomavu kisiasa kwa maslahi mapana ya taifa.
 
Safi sana Profesa. Hayo ndiyo maneno ya utu uzima na usomi. Wajinga wataanza kupayuka kwa kushindwa wakati kana kwamba wao ndio wenye hati miliki ya nchi hii. Mungu akubariki Profesa Mwandosya.
 
Huyu ni mtu mnyenyekevu, ni mstaarabu na ni mshindani! Watu wa namna hii wanakuwa viongozi wazuri wakipewa nafasi. Lakini sio ndani ya CCM, hata mara moja. Kule hawana dira, utamlinganisha vipi huyu Mzee na Rose au Januari kama kweli unatafuta kiongozi wa taifa!?

Maneno ya hekima sana ametoa Prof Mwandosya kwa kuwashukuru na kuwashauri wale wote waliomshabikia tangu mwanzo hadi mwisho.
 
Mkuu kwani hujaishtukia hii movie? February kawekwa kwa ajili ya kura za vijana, hao wamama wawili ni kwa ajili ya kura za akina mama. Mwisho wa siku mgombea ni kati ya hao wazee wawili waliobaki period.
 
Back
Top Bottom