Recent content by Bayeke

  1. B

    wanaotaka kuja kusoma India

    boscomfugale@yahoo.com
  2. B

    Anaomba ufadhili

    Kuna kijana ana division II CBG,anaomba mwenye mapenz mema amsaidie kumlipia ada mil 1.5 kwa miaka 4.ktk degree ya UKUNGA (BSC.MIDWIFERY NURSING) MWENYE MAPENZ MEMA TAFADHALI!
  3. B

    Nafasi za kazi TRA

    Kwa wale walioomba kaz BOT wameshaitwa kwenye interview?
  4. B

    UDSM kugoma...

    we mseng.....nini utasoma bila bumu acha habari zako za ajabu.
  5. B

    Duh msala nimempa mwanafunzi mimba

    Pole sana kaka!kibarua unacho!nakushauri wasiliana na wazaz wake kabla hawajaamisha hiyo mimba kuja kwako au kunyea ndoo.pole sana.
  6. B

    Appeal mechanism for first time loan applicants for the 2011/2012 academic year

    Samahani kaka kwa sisi tulioshindwa kabisa kwenda chuoni kwa kukosa mkopo,hata tukiapeal wakishatupa ili iweje wakati tuko nyumbani?hawa ni washenzi sana,wamesababisha tushinwe kusajiliwa vyuoni kwa hiyo wametuona watutumie kama vitega uchumi vyao,hilo tangazo nadhani linawahusu waliosajiliwa...
  7. B

    Dr. Mwakyembe: Nikirudi nitamwaga yote kwa watanzania nimechoka sasa....

    Usiseme hivyo mkubwa,kwani kwa kusema hivyo unamkatisha tamaa mgojwa,na hata kama kachelewa kufikisha taharifa siyo mbaya sana huenda itatusaidia kuliko angekaa kimya.
  8. B

    HATIMAYE HESLB YATEMA MAJINA KWA 1YR WALIOKOSA MKOPO....udsm wapo 154 waliopata..

    Mbona sikumbuki ulinishauri nn ktk hili,naomba unikumbushe.
  9. B

    HATIMAYE HESLB YATEMA MAJINA KWA 1YR WALIOKOSA MKOPO....udsm wapo 154 waliopata..

    Sasa stanb mtu wangu,mwenzako niko kijiji sana,pia sikupata taharifa kuhusu kuandika barua ya malalamiko hiv nitakumbukwa kweli.
  10. B

    Bodi ya mikopo waanza kuwapunguza nguvu wanaodai mikopo

    Naomba kufahamu mkuu ni chuo gani hicho ambao science wamepewa mkopo?
  11. B

    kwa waliokosa mkopo ila wameripoti vyuoni

    Kuna wanafunzi wamelipoti vyuo wakati mkopo hawna,sasa ili wasajiliwe ni lazima walipe ada nusu na na accommodation(direct cost) ndiyo wasajiliwe au ukilipa direct cost huku unasubiria mkopo utasajiliwa?
  12. B

    kwa waliokosa mkopo ila wameripoti vyuoni

    Kuna walikosa mkopo ambao wameripoti vyuoni,sasa naomba kujuzwa wakiwa wanasajiliwa ni lazima walipe nusu ada na direct cost ndiyo wasajiliwe au wakilipa direct cost(accomodation) wanasajiliwa?
  13. B

    kwa waliokosa mkopo ila wameripoti vyuoni

    naomba niulize hiyo risiti ya malipo wanayodai ni ya direct cost au ada kwa mwaka wa kwanza.
Back
Top Bottom