Anaomba ufadhili

Bayeke

Member
Oct 3, 2011
18
1
Kuna kijana ana division II CBG,anaomba mwenye mapenz mema amsaidie kumlipia ada mil 1.5 kwa miaka 4.ktk degree ya UKUNGA (BSC.MIDWIFERY NURSING) MWENYE MAPENZ MEMA TAFADHALI!
 
apeleke hivyo vyeti vyake bodi anakula 100% fasta kama ataki mkopo wa bodi aende akaombe maeneo ya dini watamsaidia..
 
Back
Top Bottom