Kuna wanafunzi wamelipoti vyuo wakati mkopo hawna,sasa ili wasajiliwe ni lazima walipe ada nusu na na accommodation(direct cost) ndiyo wasajiliwe au ukilipa direct cost huku unasubiria mkopo utasajiliwa?Cjakuelewa.
Kuna wanafunzi wamelipoti vyuo wakati mkopo hawna,sasa ili wasajiliwe ni lazima walipe ada nusu na na accommodation(direct cost) ndiyo wasajiliwe au ukilipa direct cost huku unasubiria mkopo utasajiliwa?
@Bayeke na Senetor katika pitapita leo pale chuoni UdBS nikajisahau na kujipa jina la 'NON-PRIORITY' aka 'NO LOAN' nikaulizwa na jamaa kuhusu niliyoyasema, nikamjibu nilichokitamka sikujua natamka nini ila kwa swala la mkopo kweli wame exhaust budget hivyo huu ndo uhalisia, kwa maelezo niloambiwa ni 'LAZIMA'nilipe eidha ada yote au nusu yake pamoja na gharama zingine za chuo lasivyo hakuna nafasi. Katika pitapita maeneo nikakutana na m/funzi mmoja aliyenisimamisha njiani, akanisalimu na kuniomba angalau kama ninapesa kidogo ili akale na kadai alikuwa hajala kwa muda wote alokuwepo nilipomkuta yaani hana pesa kabisa. Je serikali inafikiria na kufanya nini kwa wasomi kugeuka ombaomba mitaani. Huu ni Uungwana?
mnh somalia imehamia bongo sasa kwa hali hii@Bayeke na Senetor katika pitapita leo pale chuoni UdBS nikajisahau na kujipa jina la 'NON-PRIORITY' aka 'NO LOAN' nikaulizwa na jamaa kuhusu niliyoyasema, nikamjibu nilichokitamka sikujua natamka nini ila kwa swala la mkopo kweli wame exhaust budget hivyo huu ndo uhalisia, kwa maelezo niloambiwa ni 'LAZIMA'nilipe eidha ada yote au nusu yake pamoja na gharama zingine za chuo lasivyo hakuna nafasi. Katika pitapita maeneo nikakutana na m/funzi mmoja aliyenisimamisha njiani, akanisalimu na kuniomba angalau kama ninapesa kidogo ili akale na kadai alikuwa hajala kwa muda wote alokuwepo nilipomkuta yaani hana pesa kabisa. Je serikali inafikiria na kufanya nini kwa wasomi kugeuka ombaomba mitaani. Huu ni Uungwana?